Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Kwa kuongezea ni kuwa ikishalipuliwa na kumegeka vipande vipande au kama ni ndogo basi huanza safari ya kuanguka.
Kila inavyosogea dunia, gravitation huongezeka na speed kuwa kubwa na hivyo kuongeza wind resistance ambayo nayo huongeza joto kwenye vipande au chombo hicho.
Ndiyo maana ile ndege ya NASA kwenye uvungu wake wanatumiwa mawe special yanayoweka kuhimili joto kubwa na yanapoteza joto hilo haraka. Unaweza kulichoma hadi likawa jekundu ila ukilitoa kwenye moto tu hapohapo waweza kuyashika mkononi bila muwa na gloves.
Ndege hii ya NASA ilikuwa wakati inashuka, joto mwenye tumbo lake lilizidi 1000*C. Hata chombo cha Warusi huwa kikitua kutoka spacestation huwa kama vile mimetoka kuchomwa moto na unaona kama masizi......
https://www.youtube.com/watch?v=oZg3x7yy80o
https://www.youtube.com/watch?v=Pp9Yax8UNoM

Dah! Huu uzi niliuanzisha kitambo!