Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,013
Kha!! Kumbesatnic temple sio siri ni dhehebu linalo fanya mambo wazi wazi ni mwanzilishi wake anaitwa La Vey ila alishafariki.
Huyo La Vey ndiye mwanzilishi wa style maarufu ya kunyoa ndevu ijulikanayo kama 0.
Kutumi kichwa cha mbuzi (goat of mendez) ni kumkejeli yesu ambaye wakristo humuita mwanakondoo.
Inabidi watupe direction tutume mashushushu wakasome gap alaf tumpige shetan ambush, hawezi akatutesa hivi
Mbona hivo vichwa vya alama zao ka kichwa cha mbuzi chenye mapembe.
Mbona umewasahau waswezi.Ni moja ya Club za Siri kama ilivyo
Skull & Bones
Freemason
Bavaria
Illuminati
The Bilderberg Group
Huwezi kumfahamu Mungu ipasavyo bila kumfahamu shetani.Watu mna moyo. Mpaka sasa sijamfahamu Mungu ipasavyo, kwanini nihangaike na shetani!!!
MasonicUnataka kujiunga upande gani mkuu nikusaidie?
Hawa jamaa wameusoma mchezo! Wamejua tunatakiwa kuishi kama mashetani nao wanaleta dini ya shetani kwa nguvu! Tutaipenda tu!Inabidi watupe direction tutume mashushushu wakasome gap alaf tumpige shetan ambush, hawezi akatutesa hivi
Lazima uamini kuwa kuna hiden powers 2 ambazo zinakinzana ,kuhusu majin ya nguvu hizo sina jibuHakuna Shetani wala Mungu.
Ni hisia na fikra za kibinadamu vinavyomfanya achore picha ya Mungu au Shetani.
Sasa kama hizo powers ni hiden, watu walijuaje kwamba zipo?Lazima uamini kuwa kuna hiden powers 2 ambazo zinakinzana ,kuhusu majin ya nguvu hizo sina jibu
Nimeona mapicha picha nisaodie kwanza mm nataka free
Ni hiden kwavile hakuna aliye kuziona na akaziweka sehemu lakini zimejulikana kutokana nanufanaji kazi wake ndio maana huyu anamashetan na mapepo na majin na huyu anayasomea yatoke au yule anayombea yashindwe na yaondokeSasa kama hizo powers ni hiden, watu walijuaje kwamba zipo?
Masonic hawashughuliki na MTU masikini sababu ajenda yao kubwa ni kuwaondoa masikini duniani sababu ni mzigo na hawana mchango wowote Kwa duniani lzm masikini km wwe mmpunguzwe Kwa njia ya vita,ugaidi,magonjwa,uzazi wa mpango,njaa nk,ili wawepo wachache wenye manufaa,wao wanataka MTU mwenye mchango Mkubwa na maarufu mfano wanamuziki,wanamichezo,wasomi,matajiri,nk ili watumike kujenga na pia kuharibu jamii.ili kupelekea dunia mzima iwe chini ya utawala mmoja wa ibilisi maaluni.Si wanasema tuishi kama shetanani
Basi Mimi nachagua masonic mwenye ujuzi aniunge