ALEXANDER JOHNSON
New Member
- Oct 30, 2016
- 4
- 0
nimesoma kwenye mitandao yao na kuna jamaa wanasambaza link watsapumeona wp ww?
ingekuwa vzr kama ungerudia tena kusoma swali langu vizuri Mkuu.....sijazungumzia kujiunga.Unataka kujiunga upande gani mkuu nikusaidie?
Nimekusoma vizuri tu mkuu.ingekuwa vzr kama ungerudia tena kusoma swali langu vizuri Mkuu.....sijazungumzia kujiunga.
Inabidi watupe direction tutume mashushushu wakasome gap alaf tumpige shetan ambush, hawezi akatutesa hivikumbe kuna watu walisha muona shetani! naona wametupia sanam lake
asante mkuu nashukuru kwa jibu lako zuri50% ya habari uzisomazo mitandaoni hazina ukweli,
Believe me or not they try to hide something but keep digging Mkuu.
Ni mle mle, ni logo tu zinatofautisha
Temple haiwezi kuwa secret societyNi moja ya Club za Siri kama ilivyo
Skull & Bones
Freemason
Bavaria
Illuminati
The Bilderberg Group
They are society with secret! Not actual Secret society!Temple haiwezi kuwa secret society