blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,542 Reaction score 17,002 Oct 1, 2023 #61 Kuna boya mmoja mkenya alitaka oa hapa...
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,805 Reaction score 17,917 Oct 1, 2023 #62 Amebadilika mno. Nilipoona picha yake ya tumbo wazi nilishangaa sana. Watu watakusema humu lakini ni ukweli familia ya obama ilijua kuteka watu kipindi hicho. Ilikua ni familia flani matawi saiv imekua tofauti sana
Amebadilika mno. Nilipoona picha yake ya tumbo wazi nilishangaa sana. Watu watakusema humu lakini ni ukweli familia ya obama ilijua kuteka watu kipindi hicho. Ilikua ni familia flani matawi saiv imekua tofauti sana
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Oct 1, 2023 #63 Anafanana na kim jong