Sasa Yanga tumeanza ligi!

Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".

So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.

itapelekwa tu,ngoja tushangilie ushindi kwanza
 
Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".

So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.

Kalale wewe! Mods wako busy wanashangilia Yanga 4 - Shimbo 1
 
Mi nataka tar3 nione mpira kwenye simba tv na mchezo ufanyike kule bunju kwenye uwanja wetu
 
Moderators, hizi thread za vilabu kama hii inayohusu Yanga ichanganyeni kwenye respective "special threads".

So, please pelekeni hii thread ya Yanga kule Yanga Special Thread.
wewe kelel nitkupa ban sasa hivi hatutaki members wenye wivu wa kike hapa!
 
Hivi kanuni za ligi zinasemaje kuhusu kuchezesha wageni zaidi ya watatu kwenye mchezo mmoja?, nataka majibu kutoka kwa watu ambao sio wanayanga maana wanayanga ndo walianza ligi na JKT Ruvu wanaweza wasijue hii kanuni.
 
Nasikia Simba wanataka kushitaki CAF, FIFA na CAS ili kutaka kadi ya Emma Okwi ifutwe ili acheze na Yanga tarehe 3 Oktoba.......Wanadai kadi ya Okwi( ambayo ilikuwa ni straight red card) isipofutwa hawaingizi timu uwanjani na wanaenda mahakamani..........Lol!!!!
Mkuu, hapo jamaa wa Msongamanoni wameshikwa pabaya. Siyo siri: Simba bila Okwi si lolote wala si chochote! Inawezekana wakaenda kotini kusimamisha mchezo huo hadi hapo CAF, FIFA na CAS watakapotoa maamuzi yao. Niwakumbushe MahaRage na wenzake kuwa maamuzi ya uwanjani hayaamuliwi mezani (Rejeeni issue ya Nadir Harub katika kesi ya Young Africans v Coastal Union 2011/2012). 'Leka Dutigite' kwa kuwacharaza hawa wazee, wakiingiza timu wamekwisha na wanalijua hilo! Sasa ni zamu yao tena kuingia mitini kama walivyowahi kufanya hivyo miaka ya huko nyuma.
 
Back
Top Bottom