Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
Kama umegundua kuanzia updates ya version 2.11.186 ya whatsapp for android wameongeza option ya privacy ambapo utaweza kuzuia watu kuona last seen, kuona profile picture pia unaweza zuia watu kuona status
Updates zingine ni pamoja na kuweza kumlipia rafiki pale muda wake unapoisha
Kama unatumia ya zamani update via google playstore au download manually
Updates zingine ni pamoja na kuweza kumlipia rafiki pale muda wake unapoisha
Kama unatumia ya zamani update via google playstore au download manually