shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
CHADEMA mnaongoza kwa ujangili wa watu (wazee wa DUBAI).
hata mtoto wa chekechea anawajua majangili na wauza sembe kuwa ni miccm
CHADEMA mnaongoza kwa ujangili wa watu (wazee wa DUBAI).
inawaweka ninyi wachumia matumbo!!!! dume zima lakini unaishi kwa kujipendekeza! utawolewa wewe!!!!
wewe misuli yote hii inakutoka ya nini au wewe mdogo wake na JOYCE MUKYA nini (Shemejiiiiiii)
hata mtoto wa chekechea anawajua majangili na wauza sembe kuwa ni miccm
kuoana kwa ajili ya tumbo kuko CHADEMA, MBOWE na JOYCE MUKYA, SLAA na Mshumbuzi etc. Humu tunashindana kwa hoja tu.
nina wasiwasi na ubongo wako! hisa yako ya akili lazima iwe below 47!!! rudi milembe ulikotoroka ukamalizie dozi!
dume zima unajipendekeza kwa mijanaume!!! njoo hata kwangu nikufuge,naona njaa inakutesa sana!
na watoto wadogo wanawajua kwa sifa ya kupakana au?
kwani wanaoiunga mkono CCM si Watanzania?
Madume mnafugana huko huko CHADEMA , nenda watakufuga.
Acha bwembwe wewe, CCM ndo inakuweka mjini leo unataka kuikana.
pamoja na kwamba umeishiwa hoja, lakini bado nitazidi kukunyoosha tu. wewe utakuwa ndo ulikuwa unamfanyia mambo mabaya LEMA ndiyo maana mada zako ni zinaegemea huko.hisa yako ya akili ipo below 47,rudi kamalizie dozi kwanza!
Msukule mwingine huyu. Eti ccm inamuweka mjini, hovyo na mawzo ya kimburula, ushakufa subiri kufukiwa kaburini. Kama uko hivyo watoto wako watakuwa na hali gani. You are finished
Msukule mwingine huyu. Eti ccm inamuweka mjini, hovyo na mawzo ya kimburula, ushakufa subiri kufukiwa kaburini. Kama uko hivyo watoto wako watakuwa na hali gani. You are finished
]]Hakika maisha ya mtanzania yanaendelea kuwa magumu kila kukicha,viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wamekuwa watu wa porojo nyingi na uongo juu,ushauri wangu kwa watanzania zaidi vijana wenzangu tufika hatua tuseme inatosha ccm kuongoza nchi hii,bora wakae uraiani chama kingine kichukue hatamu,tujadili kwa hoja sio matusi
Mimi nilishaitosa kitambo CCM
njoo tu kwangu nikufuge,achana na hizo buk 7! utajidharilisha hadi lini????
misukule iko CHADEMA.
wewe samaki Mapezi yamekukauka rudi Majini. CHADEMA imekufanyia nini , mpaka utoke majini kuja kubwbwaja huku nchi kavu?