Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

Blandes

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
406
Reaction score
236
Hakika maisha ya mtanzania yanaendelea kuwa magumu kila kukicha,

Viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wamekuwa watu wa porojo nyingi na uongo juu,ushauri wangu kwa Watanzania zaidi vijana wenzangu tufika hatua tuseme inatosha CCM kuongoza nchi hii.

Bora wakae uraiani chama kingine kichukue hatamu,

Tujadili kwa hoja sio matusi
 
kwani wanaoiunga mkono CCM si Watanzania?
 
Mtahangaika sana lakini CCM ni Nambari One
 
mkuu mbona hujielewi?sis tulishasema basi wewe ndo unasema leo?lete mada nyingine.
 
kwani wanaoiunga mkono CCM si Watanzania?


Ungeuliza, kwani wanaoiunga mkono CCM ni watanzania?
 
Mimi nilisha wakataa zamani sana
 
Hakika maisha ya mtanzania yanaendelea kuwa magumu kila kukicha,viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wamekuwa watu wa porojo nyingi na uongo juu,ushauri wangu kwa watanzania zaidi vijana wenzangu tufika hatua tuseme inatosha ccm kuongoza nchi hii,bora wakae uraiani chama kingine kichukue hatamu,tujadili kwa hoja sio matusi

Twende wapi sasa? kwa wahafidhina? mimi ntafia huko huko CCM angalau naona wamenitoa wapi, wamenifikisha wapi na wananipeleka wapi.
 
Twende wapi sasa? kwa wahafidhina? mimi ntafia huko huko CCM angalau naona wamenitoa wapi, wamenifikisha wapi na wananipeleka wapi.

hujitambui,wewe mla makombo mkubwa unasumbuliwa na njaa!
 
walishasema hivyo lakini yenyewe ndio inafanya ujanjaujanja, rejea uchaguzi wa 2010 na kuchakachua.
Ni sawa na mchawi au mwizi mmoja anavyoweza kukisumbua kijiji na wakakosa ushahidi wa kumkamata kutokana na mbinu anazotumia. Ndio maana mwishowe wanakijiji huwa wanaamua 'liwalo na liwe' na kuamua kumtia mto, wengine tusingependa kufika huko japo!
 
nyie mnaopiga watu mapanga ndio tuwakubali kwa sera zenu za kueneza chuki kwa jamii, ukanda na ukabila.

Nakuambia hapa, utakufa utaiacha ccm, hatutakubali kubaguliwa kikanda, au kikabila, au chuki miongoni mwa watanzania , tanzania moja, kabila moja, sote ni ndugu, unatakiwa usema basi mwenyewe na shetani wako wa kueneza chuki miongoni mwa watanzania.
 
Back
Top Bottom