Sasa wakuu, si nimpige chini tu?

Hahahahah kwa uzoefu wangu wanaotoaga hii kauli huwa si mchezo. Kuna kamoja nilifungasha virago maana kalikuwa kanafagilia mchanyato yani kila mkikutana tu kamelowesha kufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ugonjwa wangu mimi huo bwana extro
 
Hahahahah kwa uzoefu wangu wanaotoaga hii kauli huwa si mchezo. Kuna kamoja nilifungasha virago maana kalikuwa kanafagilia mchanyato yani kila mkikutana tu kamelowesha kufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Extrovert me nakwambia mim ni mvivu mno kweny hyo sector
 
Nipe namba yake inbox, mimi naliweza hilo sharti
 
Kwani ukichakata demu mwingine unamtaarifu huyo manzi wako wa goli moja kwa wiki? Wewe baharia vipi? Tangu lini mbuzi akafundishwa kula majani?
 
Kwani ukichakata demu mwingine unamtaarifu huyo manzi wako wa goli moja kwa wiki? Wewe baharia vipi? Tangu lini mbuzi akafundishwa kula majani?
Kuna damu nilikuwanae yeye halikuwa ana ninyima Sexy kwa mwaka alikuwa ana nipa mara moja" shakushangaza eti alikuwa anataka nimuhudumie kama mke wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwanaume,

Yani umefeli, umefeli na ukafeli zaidi basi hakikisha una wanawake wawili ila kama mazngra yanaruhusu basi kuwa nao zaidi ya wawili,
Man huyo mmoja mtasumbuana tu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…