Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,235
- 62,396
Mhhh hapo subil tu wanaume wenzio waje watakupa ushauri wa kiumeKatika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja.
Kama mjuavyo tena wakuu, macho hayana pazia, na moyo ukatokea kumpenda kwa ghafla.
Basi nikajipa ujasiri; nikamsimamisha na kumuambia lengo langu, na baadaye tukabadilishana mawasiliano.
Thamani ya uhusiano inakuwa haipoBraza kunguru habenepi kwa jalala moja
Tatizo anakaba sana, huku kazi haiweziSasa mkuu we unakuaje na mmoja aiseee umenikwaza sana ma legend hatuko hvo unakua a timu Yako lakn haijuani
Kama ungekuwa wewe, ungefanyaje?Mhhh hapo subil tu wanaume wenzio waje watakupa ushauri wa kiume
+ 7Wewe una miaka mingapi?
Nipo kwenye hizo harakati mkuuOngeza mwengine
Nalog off Z
Anaweza kuja kuzima, kifuani ikawa shida.achana nae huyo mgonjwa mgonjwa
Wewe huwa huchepuki?Mzee wa michepuko,
OaKatika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja.
CHAII!!☕☕Katika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja.
Kama mjuavyo tena wakuu, macho hayana pazia, na moyo ukatokea kumpenda kwa ghafla.
Basi nikajipa ujasiri; nikamsimamisha na kumuambia lengo langu, na baadaye tukabadilishana mawasiliano.
Baada ya kama siku tatu hivi, nikampigia simu ili nimtoe 'out'; kweli alikubali, nikamtoa nje ya mji kidogo.
Huko tukabadilishana mawazo, na tuliweza kulala mpaka kesho yake asubuhi.
Shoo ilikuwa kali sana, ilikuwa kama kukomoana; baada ya zoezi akawa analalamika maumivu ya tumbo n.k
Kesho yake tuliporudi, ilibidi amuone daktari, na akawa amepewa dawa za kutuliza maumivu.
Baada ya hapo, akaniwekea 'limit' kama kukutana kimapenzi iwe mara moja kwa wiki, na iwe goli moja tu.
Changamoto iliyopo kwa sasa, hataki niwe na mahusiano na mwanamke mwingine.
Na mimi kwangu inakuwa ni ngumu, kupewa mara moja kwa wiki goli moja.
Sasa wakuu, si nimpige chini tu?
Mim nisingempga chini kwa sbb mim pia kweny mambo ya mapenzi hata nisipofanya mwezi nakua oky....Kama ungekuwa wewe,ungefanyaje?