Lengo lao ni kutuondoa sisi tusijadili mambo ya msingi yanayostahili kujadiliwa na kupatiwa suluhu, wao kazi yao kubwa ni kuleta uzushi na longolongo tu. Wangekuwa na nia ya kujenga wangekuwa wanajibu hoja zinazowahusu. Tukiwapuuza watakosa cha kuandika. Usihofu kuhusu uongo wanaouandika kwani uko wazi sana na watu wanafahamu kuwa ni uongo.