Sasa ustaarabu basi

Sasa ustaarabu basi

Ila kuna ukweli kuna demu mmoja nilimtakaga zamani 90's tukaenda guest moja chang'ombe akakataa katakata na pichu kaisha ivua kumbe bwana alinionea huruma akaninyima akasema labda msaada nikukamata mic nikasema poa nikapiga pull nikajisafisha nikasepa ehe baada ya 6month demu nikasikia kalazwa mara kavuta kuuliza ngoma!Dah nikasema kumbe ndomaana siku hiyo alikataa katkata!!Some time we should be .............!!

siunaona sasa? dem akikataa usimlazimishe, U NEVER KNOW!
 
Kakaaaaaaa....... Kuna ntu kaiba password yako???
Samahani mkuu, iwapo mtu akiiba kufuli yangu ya JF nifanyeje? sababu mimi sina mpakato, natumia za vibandani, je naweza saidiwa vipi? Mfano nilighafilika nikatoka kibandani bila kufunga kufuli yangu ya JF, msaada tafadhali
 
mkuu, ulivyosema hivyo basi na kule ukongo, bwana jela akafungua mlanfo wake anakusubiri ukipigwa miaka 30.
 
khaa............ KakaKiiza pole sana kwa yalokukuta.
duniani kuna mengi.
 
Last edited by a moderator:
haya wimbo huo...watu8 ft Tized ......
"Parapanda italia parapandaaa"....

Atakuwa amekwisha nyakuliwa....

Kweeenda.....

atakua amekwisha nyakuliwa kwenda waap?........

Kumlaki Bwana Yesu mawinguni....:flypig:

Jamani Parapandaaaa!!!........

IN TO BE LOVING MEMORY OF KakaKiiza
 
Ila kuna ukweli kuna demu mmoja nilimtakaga zamani 90's tukaenda guest moja chang'ombe akakataa katakata na pichu kaisha ivua kumbe bwana alinionea huruma akaninyima akasema labda msaada nikukamata mic nikasema poa nikapiga pull nikajisafisha nikasepa ehe baada ya 6month demu nikasikia kalazwa mara kavuta kuuliza ngoma!Dah nikasema kumbe ndomaana siku hiyo alikataa katkata!!Some time we should be .............!!

pole sana kwa kuponea hapo , vipi lakini umeshawahi kupima mkuu?
 
Hujui kubembeleza mdau,Dizaini ungejifanya kama unalia, wakionaga mchozi tu mbona wanaingiwaga na huruma sana hao, Ungejilia kilainii. We applay hii kitu one day afu utaja leta mrejesho.

hahahaha! umenichekesha kweli halafu ukanikumbusha kisa fulani.
 
Wewe nakuweka kundi la wajanja, ile mambo haihitaji kulazimisha, muhimu makubaliano, kama mrembo kagoma haina haja ya kulazimisha, hata kama mlifika hadi chumbani, warembo wapo wengi muhimu kinga usisahau
Naumeshalipia 50 ya hotel kweli akina dada kuweni na huruma je nini kinkukimbiza hotelini wakati mpango wakugegedwa haupo??
 
Mkuu ulifanya jambo la maana sana kutobaka, zamani ilinitokea nimeinguza mtoto ndani akagoma ikabidi niachane na diplomasia cha kushangaza ile nimemweka sawa KANDIRI akagoma kusimama, ilibidi nimsingizie ameniroga ili kukwepa fedheha
 
Pole mku ila kwa mwafrika kubaka hataacha kwani makabila mengi yanabaka wamasai hawaombi mbunye ni wajibu wamwanamke kujua mwanaume akionyesha hisia mimi nikumpa mbunye ukikata unakumbana na rungu au fimbo ukikaa chini jamaa ansonkomeka kwani tujuavyo hawavai pichu!
 
Kama umefikia hapo basi unakaribia kuwa Bazazi mstaafu wallah, kwasabu mojawapo ya sifa za ubazazi ni kutokuacha mbachao kwa mrembo apitae

CC #teambazazi
 
Back
Top Bottom