John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 180
Habari,
Kwa Wafugaji Nyuki Kibiashara, sasa unaweza kujipatia Mizinga ya Kufugia Nyuki Kibiashara (Commercial Langstroth Hives)kwa bei RAFIKI ya Tshs 170,000/=, ambapo kupitia kwayo utaweza kuvuna Mazao kama vile;
-Sumu ya Nyuki (Bee Venom)
-Chavua (Pollen)
-Gundi (Propolis)
-Maziwa ya Nyuki/ Jeli ya Kifalme (Royal Jelly)
-Nta (Bee Wax)
-Na Asali safi isiyochangamana na watoto wa Nyuki
Faida nyingine kupitia Mzinga huu ni kwamba utaweza kuzalisha Makundi yako ya Nyuki, wewe mwenyewe.
Mzinga huu wa Langstroth una gharimu Tshs 170,000/= (hadi shambani kwako), Lakini ikiwa utapenda kuchonga mwenyewe, sisi tutakupatia vifaa vya kuambatanisha hapo ili uweze kuvuna mazao kama yalivyoelezewa hapo juu.
Wasiliana nasi sasa; 0784324102/ 0755732981/ 0784667480