Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,387
Ni kawaida kwa kila kitongoji, mji, wilaya au mkoa hapa Tanzania kukutana na kibao hiki KARIBU WILAYA YA...(weka jina mfano TABORA). Lakini hali ni tofauti sana unakwenda kule kwa makamanda na wakakamavu wa Tanzania A.K.A akina Mwita, unapofika kwenye mpaka wa unakutana na kibao kimeandikwa SASA UNAINGIA TARIME, kuonesha ukarimu wao wa kinyume.