Jf raha sana karibuni sana hapa watu wa kanda maalum Excel charming lady Mwita Maranya Muraa ocampo four and the likes. kwaheri mkoa wa Mwanza sasa unaingia mkoa Mara. aha aha aha aha.
Kwahiyo unataka kusema Generali Mwamunyange, IGP Mango, Chagonja, Kova, JK, Pinda, wanajeshi na polisi wote wa kiume ni miongoni mwa hao mil 2?!Si wale wa Dar waliokua wanailaza midume million2 ya Dar saa11.45 jioni!!!
Ikiwa ushahidi utaonesha kwamba walikuwepo Dar wakati wa hako kakikundi ka wahuni kakitetemesha jiji!!Kwahiyo unataka kusema Generali Mwamunyange, IGP Mango, Chagonja, Kova, JK, Pinda, wanajeshi na polisi wote wa kiume ni miongoni mwa hao mil 2?!
hao wanaume wa mara wanatamani kuja dar
Wote walikuwepo mkuu na mpaka sasa bado wapo isipokuwa Chagonja ambaye alitoka kidogo baada ya lile tukio kwenda Amboni kurekodi ile filamu ya Panya wa Mapango ya Amboni.Ikiwa ushahidi utaonesha kwamba walikuwepo Dar wakati wa hako kakikundi ka wahuni kakitetemesha jiji!!
So wote walilazwa mapema lol,ni sheeedah!!!!Wote walikuwepo mkuu na mpaka sasa bado wapo isipokuwa Chagonja ambaye alitoka kidogo baada ya lile tukio kwenda Amboni kurekodi ile filamu ya Panya wa Mapango ya Amboni.
Naunga mkonoUjinga mtupu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndio maana wanawake kutoka mara wana masaburi magumu....