Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,122
- 6,062
SASA UNAINGIA KIMARA
Tulikuwa tunaingia mkoa wa Mara kwa heshima zote na pale mpakani unakutana na bango kubwa sana linalosoma "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA" kana kwamba unatakiwa kuchagua ama kuendelea na safari ama kurudi ulikotoka!
Ingependeza pia kukawa na bango linalosoma "SASA UNAINGIA KIMARA" ili kuipa hadhi Kimara inayoweza mpaka kuionya URRUSI!
Kuna haja pia ya kusimika KANDA MAALUM YA KIPOLISI KIMARA!