Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?


Hapana..hakuzinywa. Waandishi wenzie waligoma kuandika habari za Jeshi la Polisi baada ya mauaji ya Mwangosi yeye akaendelea kuandika.
 

Hakuna mahali imeandikwa kwamba kutakua na idadi ya watu wenye maono [visionaries ] Nyerere was one among many.
 
Anyways, EL aliliona hili mapema na alilisema mapema. Angekua kwenye power haya yasingetokea. Serikali ya sasa imefanya juhudi za kichekesho za kuinua kiwango cha ajira nchini, mfano ni Kilimo Kwanza.

KWani EL alikwambia angefanya nini ili yasitokee?
Na muda aliokuwa PM alifanya nini hata kuweka msingi wa kutatua tatizo hili?
 

Unajua kwamba kwa mujibu wa katiba yetu PM siyo policy maker? Ni mtekelezaji, he did not run for election to be a PM, he was picked to be a PM. Kwa hiyo hana policies zake yeye as PM ambazo anaweza kuzitekeleza.
 
wewe kilaza kwel,yani unamaanisha kwa hilo la ajira lowasa ndio alikufungua akili,nilidhani kidogo tanzania tumejaribu kupambana na adui mmoja wa umasikini yaani ujinga kumbe badooo kabisa,eeh mola tusaidie sisi watanzania kwan hali inatisha
 
siku anajiuzulu uwazir mkuu alilalamika na kusema,kamati hii haikunitendea haki, akimaanisha principle of natural justice were not followed.kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu alivyomfaya yule mwandisi wa kinondon,he adhered to principle of natural justice.without forgetting that he also adhered to labour laws. THE VISIONARY
 
Mm Sidhani kama yeye ni mtu wa kwanza kusema hilo na wala hatakuwa wa mwisho. Kwamba Pasipo ajiri vijana ni bomu linalusubiri kulipuka nimelisikia miaka mingi sana, na itaendelea kusemwa.
 
Waislamu linapo kuja suala wanalo aminishwa kuwa ni la kutetea dini yao,wenye ajira na wasio nazo hujing'oa akili na kutenda kama wehu.
 

To me this sounds stupid! Unawezaje kumutenganisha Lowasa na tabia hizo?

Lowasa kampa nani fursa ya kuendelea? Ulafi wake kamugawia nani. Udokoaji wake angefanya nje ya nchi na kutuletea ndani, ningesema yeye shujaa. Sasa yeye anabeba hapa na kupeleka anakoelewa yeye!

Unaseam vijana wanateswa na manyanyaso na kujuana. Mbona jamaa yako huyu ndo anaongoza kwa hayo? Kule Monduli kaanzisha NGO ambazo kama wewe si mmaasai huwezi kupata lolote. Hata wanafunzi hawaruhusiwi kufanya mazoezi hapo kama si maasai.

Hata hivyo yanayotokea leo hii, yeye ni sehemu ya uozo huo. Alihusika sana na sitegemei jipya toka kwake. Ni sehemu ya uchafu wake na marafiki zake ndo unaiweka nchi ilipo.
 
Na ndo maana wanataka kumpa nchi wakimwita the next president of tanzania napia ana tufaaaa sana sisi
 
Kwani uchafu wa Lowasa ni UPI unaozidi uchafu mwingine? Huko MAGAMBA wote Wachafu. Balaa lilomkuta EL ni kuwa Wachafu wenzie walimuwahi kisiasa na "KUMPAKAZIA". Lakini Kati ya "MASHETANI" kuna shetani aliye bora kuliko wengine, naye ni EL

I can see your point. Lakini hatujafikia mahali pa kubakiwa na mashetani watupu kiasi cha kulazimika kuchagua aliye "bora" miongoni mwao! We deserve better.
 
Hakuna jipya hapa. Lowassa, Kikwete na Rostam lao ni moja.
Labda mtoa mada tu ndiye asiyetambua kuhusu tatizo la ajira kwa vijana. Nothing new.
 
Hakuna mahali imeandikwa kwamba kutakua na idadi ya watu wenye maono [visionaries ] Nyerere was one among many.

Kwame Nkrumah:

Maana ya Visionary ni: A person with unusual powers of foresight; Je unaweza kumjadili Lowassa katika muktadha husika kwa kutumia maana ya dhana hii?

What is so unusual kuhusu alichozungumza Lowassa? Nadhani hata Lowassa mwenyewe sana sana atakubali kuchukua credit kwa kulizungumzia akiwa kiongozi wa CCM, lakini atakwepa kwa kila njia kuitwa A Visionary kwa suala ambalo hata yeye anajua fika kwamba ameligundua kupitia tafiti na ripoti mbalimbali;

Suala hili limekuwa likizungumzwa kwa miaka mingi sana, kwa mfano rejea tafiti za REPOA, ESRF, na pia kutoka taasisi nyingine nyingi za nje ya nchi zinazojishughulisha na masuala ya Sera za Kutokomeza Umaskini Afrika; Suala hili limejadiliwa kwa kina sana pamoja na athari zake kwa miaka mingi, kabla hata Kikwete hajawa Rais wa Tanzania;

Kwame Nkrumah, kama tunampenda Lowassa kwa uongozi wake,jambo ambalo ni sahihi kabisa, tujaribu kumuunga mkono kwa hoja nzito, sio hizi nyepesi nyepesi; Lowassa anastahili sifa kubwa kwa kuwa Kiongozi wa CCM kulisemea hilo wakati wengine wakiwa wamelala, lakini tusinogewe na kuanza utamaduni wa kumjengea sifa zinazombatiza mambo mengine ambayo hata yeye anajua bado hastahili; Itafikia wakati tutasema Lowassa ni Visionary, lakini wakati huo sio sasa;
 
if not cdm 2015 basi awe lowassa manake ndani ya ccm mimi naamini hamna kifaa kama lowassa.
sifa kubwa ya lowassa ni elements za kibabe alizonazo
lowassa sio mtu wa kuchezea, au wa kumletea usanii uchwara

lowassa ni mbabe na hii nchii inahitaji ubabe wa lowassa .

kashfa za richmond ni uzushi na chuki za sitta samwel za kunyimwa uwaziri mkuu.lowassa aligeuzwa mbuzi wa kafara .

hatuitaji rais wa aina ya membe au asha migiro.

tunataka wabebe wanaoogopwa, wanaofukaza watendaji kazi on spot

viva lowassa , lowassa 4 ccm 2015

cdm ikiteleza nafuu tudondokee kwa lowassa na sio akina membe
 
Lets put it this way "Nyerere [ au Dr. Slaa, au Mrema, au JK, au Lipumba, au Zitto] amesema ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kupasuka"
Je kauli hii ina ukweli kama tukibadilisha jina la msemaji????
hatuhitaji darubini kuona tatizo la ajira, yeyote mwenye timamu analiona, na wengi wamelisema sasa sijui kwanini unaliatachi kwae tu huyo fisadi mwandamizi, tabia zake za ufisadi zinasababisha ukosefu wa ajira naye anajua wee unaita vision come on!
 
Nkruma umenena jambo jema, sisemi hivyo kwa sbb natoka A town, ila watalaumu cna juu ya EL, ila nchii inahitaji mtu kama EL, wanaombeza ni wahuni na wasiopenda maendeleo ya nchii hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…