Sasa tutafutane

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
baada ya kufurahia sana huko Serengeti na Ngorongoro sasa nimerudi Kwa ubalozi wa B52, WENYEJI MPO?
 
baada ya kufurahia sana huko Serengeti na Ngorongoro sasa nimerudi Kwa ubalozi wa B52, WENYEJI MPO?
Aisee dogo wangu karibu sanaaaaaaaaaaaaa
Tupoooooo na hapa ndo nimetoka kumpokea shemeji yakooo
So tukukute wapi?
 
niko wangu...nilienda kuomboleza kdg..si unajua mwezi huu...tunaomboleza wenzetu...nilikuaga lkn bebii..hakuna wakunichuna zaidi yako
 
niko wangu...nilienda kuomboleza kdg..si unajua mwezi huu...tunaomboleza wenzetu...nilikuaga lkn bebii..hakuna wakunichuna zaidi yako

sawa beb....uwe makini wasije wakaanza kukuchuna chuna....
 
siwezi kuchunwa na mtu zaidi yako bebii

Kweli nimeamini yana Run dunia! Mtu chake, umekua mpole, bariiidi, kama ungekua wachinjwa basi ushaelekezwa kibla!
Kinasubiriwa kisu tu! Kihitimishe jedwali .
Nawahongera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…