Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 578
Usalama upo wa kutosha na jitihada kubwa zinafanyika kulinda mitaji ya wawekezaji.Naomba kujua usalama wa sehemu ya mtaji atakaowekeza mwekezaji
Mnawekeza kwenye nini hizo pesa na je faida inalipiwa kodiUsalama upo wa kutosha na jitihada kubwa zinafanyika kulinda mitaji ya wawekezaji.
Tusichoweza kudhamini ni "force majeure" tu.
Uwekezaji wetu ni kwenye machimbo ya mchanga na kodi zote halali zinazohitajika kisheria tunalipia.Mnawekeza kwenye nini hizo pesa na je faida inalipiwa kodi
Nikiwekeza milioni napata nini baada ya mwakaUwekezaji wetu ni kwenye machimbo ya mchanga na kodi zote halali zinazohitajika kisheria tunalipia.
Huu mradi unahusika na machimbo ya mchanga lakini specifically tutawekeza kwenye excavator ya kuchimba mchanga na kupakilia kwenye magari tutapouuza.
Asante kwa swali zuri.
Unarudisha million yako Na kupata million moja na nusu juu yake kwa mwaka mmoja wa siku za kazi.Nikiwekeza milioni napata nini baada ya mwaka
Sasa hapo Mimi ntakuwa share holder au nawasaidia kupanda kiuchumi.
Sijaelewa bado.
Nifafanulie kidogo ni lazima zifike 40m au nawekeza chochote
Sasa kama ni siku 365 inamaana hakuna mapumziko hapo na wewe unasema siku za mapumziko hazitesabiwa kuna ukakasi hapo plz piga maesabu ya siku zako na hizo equipment ni gharama Sana sidhani Kwa mtaji huo kama unaweza pata by the way ni idea nzuri lakini piga vizuri hesabu zakoUnarudisha million yako Na kupata million moja na nusu juu yake kwa mwaka mmoja wa siku za kazi.
Mfano, jumla ya mapato na uwekezaji wako ni 2,500,000 unagawa kwa siku 365 za kazi unapata 6,849 ambazo ni jumla ya mapato yako kwa siku. Tutakulipa kila wiki au kila mwezi.
Matarajio ni kukulipa haraka iwezekanavyo kabla ya kumaliza siku 365 za kazi.
Siku za mapumziko hazitahesabiwa. Ni kamili siku 365 za kazi kufanyika. Kwa maana nyingine pesa yako unaweza kuipata yote na faida kabla ya mwaka kumaliza au ikitokea mvua au uharibifu wowote ulio nje ya uwezo wetu mafao yanawezekana yakachelewa
Kwa hii idea ni nzuri ya kujikwamua kiuchumi ila nafikiri kuna haja ya kuweka wazi detail zote za project husika ili tunaowekeza tujue .
Hata pindi mtakapopindisha na kuanza kufanya tofaiti na makubaliano basi wadau wafanye maamuzi pia .
Siku 365 za kazi. Siku ambazo kazi itafanyika tu ndio zinazolipwa, kwa masharti kuwa zitimie siku 365 kwa kila siku ya kazi kuhesabiwa.Sasa kama ni siku 365 inamaana hakuna mapumziko hapo na wewe unasema siku za mapumziko hazitesabiwa kuna ukakasi hapo plz piga maesabu ya siku zako na hizo equipment ni gharama Sana sidhani Kwa mtaji huo kama unaweza pata by the way ni idea nzuri lakini piga vizuri hesabu zako
Hongereni sanaUnawekeza chochote kuanzia laki tano hadi million 20.
Hakuna share holders kwenye hili kwa kuwa ni mradi wa muda fulani tu.
Mtaji wa 40m kwa excavator unakuaje mkuu?
nanusa roten ratMtaji wa 40m kwa excavator unakuaje mkuu?
Tuna vibali vya kuendesha chimbo la mchanga.Vibali vya kuendesha hyo mutual fund mnavyo,tuanzie hapi kwanza