alf hii story imekuzwa kwa tulio kuwa karibu na tukio mapambano yalianza saa nane ucku yakadumu mpk saa kumi na moja iv alfajir kwa hio ni mda wa masaa kma 3 iv, masaa 12 au 16 c vita hio? maajabu picha zinainekana zimepigwa mchana it means ata police wana tafta kick