Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Habari wakuu

Shirikisho La mpira wa miguu baran afrika limethibitisha rasmi Tanzania itapeleka timu 4 katika mashindano ya vilabu Barani afrika shiriksho limesema mwisho wa kufanya usajir kwa vilabu hivyo n June 30 mwaka huu

Hivyo kwa Tanzania timu zitakazoshiriki klabu bingwa ni
Simba
Yanga

Timu zitakazoshiriki kombe LA shirikisho ni

Azam
Kmc

Rai yangu timu zikawakilishe vema wafanye usajili
Screenshot_2019-06-04-14-45-14-1.png
 
Habari wakuu

Shirikisho La mpira wa miguu baran afrika limethibitisha rasmi Tanzania itapeleka timu 4 katika mashindano ya vilabu Barani afrika shiriksho limesema mwisho wa kufanya usajir kwa vilabu hivyo n June 30 mwaka huu

Hivyo kwa Tanzania timu zitakazoshiriki klabu bingwa ni
Simba
Yanga

Timu zitakazoshiriki kombe LA shirikisho ni

Azam
Kmc

Rai yangu timu zikawakilishe vema wafanye usajili mzuri
KMC kafikaje hapo?
 
Shirikisho la Soka Africa limethobitisha Tanzania itapeleka timu 4 katika michuano ya Africa msimu ujao
Simba na Yanga zikicheza champions league Huku Azam na KMC zikicheza confederation Cup.
Timu zote zinatakiwa kufanya usajili mwisho Ni Juni 30
Inst-image-9.jpeg
 
Chonde chonde timu yangu ya Yanga; fanyeni usajili makini kwa ajili ya ushindani wa ndani na ule wa kimataifa. Mambo ya kusajili wachezaji wa kawaida ili tu kupata 10% itatuletea aibu tu mbele ya safari na kuendelea kubakia kuwa wanyonge mbele ya boda boda fc.
 
Back
Top Bottom