Asante Yanga, Sasa Tanzania kupeleka timu 4 CAF

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,771
24,202
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)

katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.

Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri

#FutbalPlanetUpdates
IMG-20230520-WA0019.jpg
 
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)

katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.

Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Hizo nafasi nne ziko pale tangu simba ipofuzu robo fainali hizo za yanga labda zipelekwe zanzibar
 
Baada ya klabu ya Yanga kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho, ligi kuu Tanzania bara itapeleka timu nne(4)

katika misimu miwili mfululizo ambapo mbili ligi ya mabingwa na 2 kombe la shirikisho.

Makolo tumewasidia kubakia champions ligue......la sivyo CAF confederation ingewasubiri

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2640432
Ama kweli yanga ni dude kubwaaa
 
Simba mazingira ya yeye kubaki champions league mwakani kajitengenezea yeye mwenyewe baada ya kufuzu Robo final.

Sasa hiyo ya Yanga kufika final losers labda uwahusishee Azam na Singida Big stars.

utopolooo waarabu wamewavuruga vibayaaa.
 
RATIBA YA MVUA.

Tunapenda kuwatangazia kuanzia leo itasimama kidogo mpaka tena siku ya Finali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).

Tunaomba radhi kwa usumbufu
Na awamu hii inabidi iwe mvua ya mawe, na mawe yenyewe yawapate wachezaji wa Utopolo pekee (yaani Kinyambe na wenzake). Hili linawezekana, 'kamati' ijitahidi kufuata maelezo haya.
 
Back
Top Bottom