Sasa nipo facebook,wanajf karibuni tuchat!

Sasa nipo facebook,wanajf karibuni tuchat!

si mchezo!...nipe ramani maana miezi hii ubwabwa mchache sana so party ikitokea sio kitu ya kukosa!
NakuPM ramani sasahivi, hapa wazamiaji wengi watatujazia ukumbi bure tukose hewa...
 
mpeni raha huyu mpwa jamani enendeni facebook mkajamiiane nae
 
Yaani unataka tuje kuuza nyago fesibuku?
Wengine tuna pembe la faru.
 
Ngastuka kaka huyu anatuvuta ngasa, hapati mtu hapa....
Haya kyo!
Mi nimepita tu nilipoona hiyo comment ikabidi nistuke kwanza..
Hope atakuwa ameshajifunza na hatorudia tena!
 
mbona hilo jina wapo kibao? umeweka picha gani? kama vipi tuchat hapa hapa. kwani jf hamna sehemu ya kuchat hadi tuje huko? tuchat hapa hapa bana. nambie wewe jinsia gani?

Am a man,why asking my gender mr dubu? Okey cool,nimeweka picha nikiwa nimevaa tshirt la pundamilia,nitumie friend request,okey?
 
Back
Top Bottom