Sasa ninathubutu kusema j.m.k & e.n.l walikosea sana kujitenga na .............

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
1995-2005-2008 ilikuwa ni agano takatifu, kiapo cha dhati, utimilifu thabiti wa kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.............. Bwana yesu aliwapa amri mpya wanafunzi wake na makutano" nawapeni amri mpya, pendaneni kama mnavyojipenda ninyi , pendani" upendo ni amri ya mungu"

katika watu hawa wawili jakaya mrisho kikwete na edward ngoyai lowasa ni nani aliyempenda mwenziwe kama anavyojipenda yeye mwenyewe?

Nikiwa ni mwana ccm, shabiki wa siasa za kuvumiliana na kukosoana, ninawasihi jakaya mrisho kikwete na edward ngoyai lowasa kulirejea agano lao na kuipa Tanzania muelekeo sahihi, naamini kwa kutokufanya hivyo si Jakaya wala Edward atakayeweza kuwa na legacy ndani Tanzania, wasaa ni huu .............

Nakaribisha maoni yenu wana jf..........
Mungu ibariki tanzania
 
Do u think agano lao limevunjika?.......halijavunjika na lipostrong ile mbaya

hujasikia kuwa kunampango wakusafisha lowansa ili agombee 2015...........?

Tbc1 wanamwita waziri mkuu mstaafu..........all in all i think lowansa alimpenda jk zaidi
 
Back
Top Bottom