Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 910
Mhuuuuuuuuu! Huku ni kudanganyana kwa kweli.Habari wanajukwaa baada ya kuleta uzi jana kuhusu tabia ya wife kuninyima tendo la ndoaa
Leo nikiwa nimekaa na bosi wangu mpyaa nimepata mshituko baada ya bosi kuniambia haya ..
"Mdogo wangu unajua mimi kwa sasa stumii kondomu "
Nikapigwa na butwaa nika muuliza why bosi ??
Jibu alilonipa nilishangaa saana!!!!
Mdogo wangu mimi nina miaka 53 nitumie kondomu ya nini nina miakA 53 sasa hata nikipata virusi vya ukimwi kwa sasa nina miaka 53 nitakaa miaka 10 ndio nianze kutumia Arv miaka 63 hiyoo
Nikianza tumia arv miaka 63 nitatumia hata miaka 10 tena hapo miaka 73 nakufa sasa nitumie kondomu za nini wakati hata miaka hiyo 63 ni kudra za allah
Hivyo mi nikipata vibinti napiga peku tuu...kaa ninao mtakoma vijana....
Salaamu wakuu.....
Kwa sikio languMhuuuuuuuuu! Huku ni kudanganyana kwa kweli.
Vipi wife kakupaHabari wanajukwaa baada ya kuleta uzi jana kuhusu tabia ya wife kuninyima tendo la ndoaa
Leo nikiwa nimekaa na bosi wangu mpyaa nimepata mshituko baada ya bosi kuniambia haya ..
"Mdogo wangu unajua mimi kwa sasa stumii kondomu "
Nikapigwa na butwaa nika muuliza why bosi ??
Jibu alilonipa nilishangaa saana!!!!
Mdogo wangu mimi nina miaka 53 nitumie kondomu ya nini nina miakA 53 sasa hata nikipata virusi vya ukimwi kwa sasa nina miaka 53 nitakaa miaka 10 ndio nianze kutumia Arv miaka 63 hiyoo
Nikianza tumia arv miaka 63 nitatumia hata miaka 10 tena hapo miaka 73 nakufa sasa nitumie kondomu za nini wakati hata miaka hiyo 63 ni kudra za allah
Hivyo mi nikipata vibinti napiga peku tuu...kaa ninao mtakoma vijana....
Salaamu wakuu.....
Baada ya kumbaka jana leo kanunaVipi wife kakupa
Ndo maana huyo hatumii kondomuBaada ya kumbaka jana leo kanuna
Umeonaaa eheeNdo maana huyo hatumii kondomu
hahaha.. mbake tena mkuu..Baada ya kumbaka jana leo kanuna
Baada ya kumbaka jana leo kanuna
hahaha.. mbake tena mkuu..
atazoea tu..
Mkuu ujue mke wako akiamua kukushtaki unaweza ukashtakiwa kwa kosa la ubakaji??
Hivi akishinda nafungwa mkuu