Sasa nimemuelewa Ally Hapi juu ya hawa Wazee

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,381
15,943
Kuna wakati Ally Hapi aliwajia juu hawa wazee kina Makamba kuwa watulie la si hivyo atawatwanga, wamuache JPM afanye kazi zake kwa utulivu

Aise nimeamini kuwa JPM aliwajua hawa wazee nje ndani ndio maana alikwenda mbali zaidi na kuwarekodi

Imagine mtu kama Mzee akamba anazungumza maneno ya shombo kiasi hicho 'mzee mtu mzima anasema watu wabaya ndio hufa tena mbele za wajane wengi tu waliokuwepo pale ukumbini, uchawa ni mbaya sana yale siyo maneno ya kuzungumza mtu wa miaka hiyo.

Makamba Sr na Jr wote ni walamba makalio

Laiti ningekuwa mimi Mama Janeth naondoka pale pale niwaachie chama lao wabaki na watu wasiokufa

Ally Hapi angekuwepo pale angewatwanga vibaya mno hao wazeee walamba asali
 
Ally Hapi sasa hivi analima Nyanya wakati Mzee Makamba yupo kwny Podium ya Mkutano Mkuu wa CCM Taifa akihutubia

Kufanikiwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja na u smart kichwani
Kuwa kwenye Podium ndio kufanikiwa mkuu?
 
Ally Hapi aliwajua hao. Hawako kwenye chama kwa ajili ya maendeleo ya nchi, il wako kwenye chama kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Unaona hata Mama ameshtukia na ikabidi atengue hizo sifa alizopewa??? Wanampamba Mama ili watoto wao waendelee tu kushika nafasi hata kama wanashindwa ku-deliver. Iko siku Mama atawaelewa tu.....
 
Mama keshawaelewa..
 
Back
Top Bottom