Kwa mara ya kwanza tutashuhudia wote CCM na UKAWA wakikimbia mdahalo wa wagombea uraisi.
Wote watakwepa kuhojiwa moja kwa moja suala nyeti la ufisadi.....
Muda utatupa majibu
Baada ya kupata shida sana kwa muda sasa kuwaelewa wafuasi wa UKAWA/Lowasa mwishowe nimekuja kuwaelewa ni kwamba wao wanachokitaka Chama Cha Mapinduzi kiondoke madarakani na kinaondokaje na nani anakuja baada ya CCM kuondoka hilo kwao siyo muhimu ila cha muhimu tu CCM iondoke!
Kitu kilichokuwa kinanipa shida kuelewa ni kwamba ni kwanini maswali magumu hawataki kuyajibu? Maswali kama Je, kama CCM ndiyo mbaya iweje tena muwe tayari kuwaamini Watu wale wale waliokuwa CCM na wengine bado wapo wajibadilishe Jina nakujiita UKAWA badala ya CCM halafu mseme mnataka kuindoa CCM madarakani hamuoni kwamba mtakuwa mmefanya kazi bure?
Jibu la hili swali ni kwamba tutajua mbele kwa mbele cha muhimu CCM iondoke!
Sasa baada ya majibu kama haya basi nimeamua kuwaelewa na kutambua kwamba wana UKAWA wana Intelejensia ndogo na hamna kitu mtu utafanya kuwashawishi vinginevyo kwa maana hata hawako tayari kwa majadiliano yenye maswali mgumu!
Kwao haijalishi nani anakuja lkn Cha muhimu CCM Iondoke!
tuanze kujibu hili kwanza. nini maana ya chama?
Kwa mara ya kwanza tutashuhudia wote CCM na UKAWA wakikimbia mdahalo wa wagombea uraisi.
Wote watakwepa kuhojiwa moja kwa moja suala nyeti la ufisadi.....
Muda utatupa majibu
Good observation.Na ndio maana hata majibu yao huku ndani ni ya ovyo ovyo..wanabaki kusema umamaliza? ...dawa inaingia... stupid comments. Hawako tayari kwa mjadala wowote...yaana hata ukiongea nao ukiwauliza watashindaje uchaguzi hawana mbinu wanabaki oooh suburi asubuhi. IT IS SUCH A DISGRACE TO BE AN UKAWA SUPPORTER.
Subiri dawa ikuingie mkuu, mwaka mbaya kwako huu mpaka novemba tutaona matokeo ya matibabu ya afya yako, kama Mungu atakupenda zaidi wasalimie UNIP na KANU huko.Good observation.Na ndio maana hata majibu yao huku ndani ni ya ovyo ovyo..wanabaki kusema umamaliza? ...dawa inaingia... stupid comments. Hawako tayari kwa mjadala wowote...yaana hata ukiongea nao ukiwauliza watashindaje uchaguzi hawana mbinu wanabaki oooh suburi asubuhi. IT IS SUCH A DISGRACE TO BE AN UKAWA SUPPORTER.
Nakuhakikishia kwa mara ya kwanza utaona mgombea wa Chadema/Ukawa anakimbia mdahalo wa urais.
Magufuli anauwezo wa kusimama na kujenga hoja kwenye podium sio Lowassa ambaye hawezi hata kutamka chadema, anatetemeka tu!
Barbarosa, kimsingi huo ndio ukweli weneywe kwamba sio tu ukawa ila wananchi wengi wamechoshwa na mfumo uliopo na wanachokihitaji kwa sasa ni kuona unaondolewa madarakani.
Nani alitegemea ukawa ingedumu hadi leo, nani alitegemea ukawa ingeendelea kua hai baada ya viongozi wa vyama viwili vinavyounda umoja huo kusua sua na wengine kujiuzulu ntazifa zao? Nani alitegemea baadhi ya vingozi na watu maarufu wangejiunga na ukawa na kusababisha hofu kwenye mfumo uliopo madarakani?
Uko sahihi kabisa kwamba wanachokitaka watu sasa hivi ni kuondoa mfumo uliopo kwanza.
Good observation.Na ndio maana hata majibu yao huku ndani ni ya ovyo ovyo..wanabaki kusema umamaliza? ...dawa inaingia... stupid comments. Hawako tayari kwa mjadala wowote...yaana hata ukiongea nao ukiwauliza watashindaje uchaguzi hawana mbinu wanabaki oooh suburi asubuhi. IT IS SUCH A DISGRACE TO BE AN UKAWA SUPPORTER.