sasa nimeamini

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
MGOMBEA URAIS WA CCM MH. JAKAYA KIKWETE AKAA CHINI KWENYE MAVUMBI NA MLEMAVU



jk-makete.jpg


SASA NIMEAMINI KWAMBA VIONGOZI WAKIWA WANAHITAJI KURA WANAWEZA HATA KUSEMA 'SHIKAMOO' KWA WATOTO WADOGO!
!HUU NI USANII WA HALI YA JUU:lol:

Bartlett%20with%20Jakaya%20Mrisho%20Kikwete%20and%20wife%20at%20Mystic%20Mountain.jpg

 
Hivi huyo dada akipandisha midadi akapeleka midogo yake Ikulu itakuwaje?? JK ataipokea au atatimua mbio??

Siasa ina raha yake. Machizi tu ndo wanaifurahia, kama akina Zuma. Ukienda na ubishoo wako utaumbuka. Hebu fikiria, unakutana na jitu halijapiga mswaki toka siku ya uhuru,na likiongea mvua ya mate inaleta mafuriko, halafu linakukaribia kukusalimia..... Mhh waache wasanii wajaribu bahati zao, ....wakatafute kula!
 
Safari hii mpaka kieleweke....



xoxoxo
 

Attachments

  • JK.JPG
    JK.JPG
    69.5 KB · Views: 40
Usanii wa namna hii ni uhuni!Ndiyo maana anatuambia atapunguza ukimwi!!!
 
jamani kakaetu ameshikwa pabaya mwaka huu. Siasa bwana nyie acheni tu. Alipokuwa haombi kura akiwa madarakani kila akienda ziarani na kama atakuwa anweka jiwe la msingi lazima awekewe mkeka au kama anahamasisha kupanda miti ataletewa zuria. Huu mwaka atalala chini ya mti nawaambia.
 
naitafuta ile aliyowekewa mkeka akipanda mti niiunganishe na hii,nadhani itanoga kuziweka pamoja!
 
Maskini,wakimuona alivyokaa hivo wanaona kweli rais mtu wa watu!kumbe msanii,mlaghai,muongo,,,,,,
 
Maskini,wakimuona alivyokaa hivo wanaona kweli rais mtu wa watu!kumbe msanii,mlaghai,muongo,,,,,,

Hapo ni kanyaboya. Ukifunga macho unauziwa mbuzi kwenye gunia. Huyo dada tayari keshauvaa mkenge. Atatoa kura kwa sababu ya hiyo picha bila kujali kuwa, kwa kufanya hivyo anakipa laana kizazi chake chote.
 
Ni kweli nami niliupenda sana kutokana na maneno yake mazuri japo staili ya waimbaji haijakaa vizuri

hata mim nililiona hilo lkn nilizingatia zaidi ujumbe lkn style yao usiposikia maneno hutadhani ni gospel!
 
kikwete kapoteza sana,sasa hii kukaachini kwenye vumbi ndio nini??? apewe kura kisa alikaa chini kwenye na mlemavu na kumgawia bajaji ambalo hata huyo aliyepewa sidhani kama ataweza kumudu bei za mafuta,!!!huyu JK kachoka kiafya na kifikra haina budi watu wawe macho wamuweke pembeni kwa kura zao kwani miaka mitano ijayo ndio atatupeleka shimoni kabisa na itakua too late
 
Nakubali utabiri wako unatisha kuliko mtabiri fulani al-marhum.Huyu presida keshatudumbukiza shimoni na itatugharimu sana kuweza kutoka humo.Wapi katika historia ya nchi yetu mafuta ya taa yamewahi kulingana na diesel au petrol?Sasa hata tupige kelele vipi he doesn't care kwa vile anamalizia tonge lake la mwisho.
 
Back
Top Bottom