Sasa Nimeamini Mgawo wa Umeme Ulikuwa ni Man-Made. Long-Live Prof. Muhongo na Wenzio

Jaribio la kumlinganisha Prof Muhongo na Zitto kwa kweli linatakiwa iwekwe kwenye makosa ya jinai kwa kuwa ni watu walisolinganishwa kabisa!! Wakati mmoja ni mtendaji aliyeaminika (duniani) mwingine atafuta misifa tu kila kukicha; wakati mwingine anajulikana misimamo yake mwingine ni kigeugeu hata chamani kwake wanamshutukia; wakati mwingie yuko tayari kupambana na mafisadi bila uwoga mwingine amerudisha majembe nyuma na amejiunga na mafisadi tofauti na alivyokuwa. We are sio sad na jinsi Zitto alivyotulet down maana mimi nilikuwa namkubali sana huyu kijana na sijui nini kimembadilisha hivyo.

Muhongo lazima atakuwa na maadui wengi kama ambavyo, Mwandosya na hata Magufuri wamekuwa na mapambano katika nchi yetu yenye mafisadi kila kona. Kazi yetu sisi wananchi ni kuwazomea hao wanaowadharau watu wanaotaka kutupunguzia kadhia dhidi ya maisha ya kimaskini wa kujitakia katika nchi tajiri. haijarishi mtu yuko chama gani, ukimpinga mtu tunayeona anatusaidia basi hata Mungu naye atakuaibisha!!

Penye ukweli Uongo hujitenga na Huwezi kudanganya watu wote wakati wote. Mhe. Zitto tayari ameanza kuonyesha uhalisia wake na watu wamemsitukia kuwa siye waliyekuwa wakimdhania. Tabia Yake ya kudandia kipengele Kimoja, tena siyo kipengere Ni kakipengere Kamoja na kukomaa nako bila kufanya utafiti wa kina ili awazuge Watanzania Sasa imemfikisha hapo alipo na atazidi kuelekea huko anakoelekea na kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa ataporomoka hadi hata bata wamuone hana maana.
 
Usichokifahamu kuhusu Tanesco ni kuwa, Professor keshapiga marufuku kutangaza mgawo. Mgao upo tena sana tu ila hairuhusiwi kutangaza kuwa kuna mgao isipokuwa unaruhusiwa kusema kuna marekebisho ya nyaya na kufunga kifaa sehemu fulani. Source: Ni rafiki yangu anafanya kazi tena ni one of the top guy in the company.

WA-UKENYENGE:
By the way, mgao unakuwepo kwa kutangazwa au wateja kuathirika? Wateja wanasifu mgao kupungua, lakini hoja yako inakinzana na waonavyo wateja wa umeme tuwaamini wateja au tukuamini wewe na huyo rafiki yako wa TANESCO?
 
Katika hali ya utata kama hii ya umeme, technically hata hujuma zinaweza zikaendelezwa ili ionekane kuwa utendaji kazi wa Waziri Muhogo na wasaidizi wake hauridhishi. Hii hoja ni vema ikaangaliwa kwa mapana na marefu.
 
WA-UKENYENGE:
By the way, mgao unakuwepo kwa kutangazwa au wateja kuathirika? Wateja wanasifu mgao kupungua, lakini hoja yako inakinzana na waonavyo wateja wa umeme tuwaamini wateja au tukuamini wewe na huyo rafiki yako wa TANESCO?
Mkuu mi sikatai kuwa mgao haujapungua la hasha, umepungua kwa vile hautangazwi tena na umekuwa ukiendeshwa kisomi zaidi; lakini bado hatujafikia hatua ya kuanza kutoa sifa kemi kemi wakati bado hata 1/5 ya watanzania wote hawana umeme ukiachilia mbali hawa ambao wanaupata. Tukirudi kwa hawa wanaoupata, bado ufanisi wake ni mbovu mno ukilinganisha na resources ambazo Tanesco inazo, nchi inazo pamoja na uwezo wa shirika kuhudumia watanzania.
Hata hivyo, kuna proposal nyingi za kuweza kutatua matatizo ya upatikanaji wa umeme lakini kutokana na siasa kuzidi fani za ufundi nk basi hakuna cha maana, imebakia watu wanaenda training ng'ambo wakirudi wanatafuta zingine, basi maisha yanaenda huku wengi wakikosa ajira sababu ya ukosefu wa umeme, wakikosa walimu sababu ya ukosefu wa umeme kwenye mashule mengi huko vijijini!! nk.
 
Back
Top Bottom