Sasa ni zamu ya Kelvin John

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Kweli Watanzania tunaweza tukishirikiana kwa dhati.

Samatta amefikia mafanikio haya tunayompongeza leo kutokana na sapoti kubwa kutoka kwa watu tofauti tofauti na Watanzania kwa ujumla. Nakumbuka kipindi akiwa TP Mazembe Shafii Dauda, Edo kumwembe waliweza kumtembelea na pia kuhudhuria mechi kadhaa ili kumtia moyo. Uzuri walikua watupa mrejesho wa ziara zao hasa maisha binafsi ya Mbwana.

Waliendelea kufanya hivyo hadi alipohamia Genk. Watanzania pia hawakua nyuma mda wote wamekua wakihama naYe popote aendako. Leo Samatta kafika kwenye kilele cha ndoto zake. Hatuna budi kumpongeza Samatta na familia yake. Lakini pia Waandishi na vyombo vyote vya habari na Watanzania kwa ujumla hongereni sana. You have been great on supporting this guy.

Sasa nadhani ni wakati kuliamsha dude na kuwekeza nguvu zetu zote kwa bwana mdogo Kelvin John. Nashauri Watanzania tusihame na Samatta mazima tukasahau kuwa pale Genk kuna kijana wetu na mdogo wetu amebaki akiendelea kufundishwa na kupikwa. Anahitaji sapoti yetu sana kuliko wengine. Kwa umri wake na sehemu aliyopo ndiye mchezaji ambaye ni rahisi sana kumbeba na kumpigia debe. Vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii tuwekeze nguvu zetu zote kwa Kelvin John. Moto umewaka ni lazima tuendelea kuuchochea ili wachezaji wengi wa kitanzania wapate nafasi. Hata Nigeria,Cameroon na Ghana walianza na moja leo hii wachezaji wao km wote wanakipiga Ulaya.

Together we can go very far.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha yake tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelvin John yupo college huko Uingereza, ila ameshakamilisha baadhi ya taratibu za kujiunga Genk Krc hivyo kinachosubiriwa ni yeye kutimiza miaka 18+ ili aanze kukiwasha Genk.
Source: jamaa angu mmoja yupo close sana na wakala a wa Kelvin
 
Mm nlichokuwa najua ni kwamba KJ ni Mchezaji wa GENK, sijui kwa mazingira gani wakampeleka Academy ya Leicester City, wanasema ili akue! Sa sijui GENK hawana Academy! though najua KJ ni U18!
Umeshindwa ku act kama great thinker, ulipaswa kusema KJ hayupo Genk ila yupo Azam sasa unasema hayupo sehemu fulani bila kutuambia alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya mwisho kumuona alikuwa Leicester city
Yupo Genk nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kelvin John yupo college huko Uingereza, ila ameshakamilisha baadhi ya taratibu za kujiunga Genk Krc hivyo kinachosubiriwa ni yeye kutimiza miaka 18+ ili aanze kukiwasha Genk.
Source: jamaa angu mmoja yupo close sana na wakala a wa Kelvin
Taarifa niliyoipata mpaka leo Sport Arena akina Edo Kumwembe wamesema Kelvin John yuko timu ya vijana ya Genk labda km wamedanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote mko sawa wakuu ,

NB: nauliza ishu ya msuva kwenda benfica imeishaje?

MTC | 101|
 
Back
Top Bottom