Sasa ni zamu ya Dodoma, Nyalandu kuwasha moto mkubwa sana !

Moto lazima umuwakie Nyalandu, amechegua siku Mapinduzi. Political anataka kuonesha Mapinduzi ya Zanzibar hayana maana pia anataka kushindana media coverage na sikukuu ya mapinduz. Hii lpress conference labda afanyie chumbani kwake
 
Muda huo hana ilimradi kapata mgao wa ruzuku kutoka kwa M/kiti wa maisha wa kueneza propaganda ,mengine sio kazi yake
 
Sikumbuki mkutano ambao haukufanyika baada ya taarifa zake kuletwa jukwaani na ukazuiwa nikawanyima mrejesho , mara zote niko Active sana , inawezekana huwa nyuzi zake zinakupita , hata hivyo mimi kama mwanadamu yawezekana niliwahi kukosea , ikiwa ni hivyo nisamehewe .
 
View attachment 1318391

Ni jumapili hii , Wote mnakaribishwa
Is he now mentally fit? Sijawahi muona Nyarandu kama mtu wa maana hata kumsikiliza. Sijui kwa nini CHADEMA haipati mafunzo ya wahamiaji hawa. Nyarandu yule aliyewahi kusema wamarekani wanataka yeye ndo awe rais wa TZ!! Naye anakuwa mwansiasa serious kiasi cha kupewa kanda?
 
Humjui Nyalandu wewe , hebu jiulize kisa cha ndege kuwabeba wale watoto majeruhi kule Arusha , Hao ccm kwa kumtumia Kigwangwala walishasema Nyalandu atashitakiwa , hizo fyokofyoko ulishazisikia tena ? halafu soma gazeti la Jamhuri uone uchafu wa Kigwangwala ulivyoanikwa , ukishasoma muulize Kigwangwala ni lini atamshitaki Nyalandu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…