mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Mahakama gani imemkuta na hatia trump kwa matusi? Kawasifia nyinyi mnaona matusi...hhhhhhhhh...Ka17965430 said:Hivi unajifanya hujaona hiyo kashfa mpya akiwatusi wanawake?
Mahakama gani imemkuta na hatia trump kwa matusi? Kawasifia nyinyi mnaona matusi...hhhhhhhhh...Ka17965430 said:Hivi unajifanya hujaona hiyo kashfa mpya akiwatusi wanawake?
Wamarekani this tyme hawataki kiongozi ambaye ni legelege.Trump anakataliwa kila mahali,ndani ya chama chake ,watu wake wa karibu,na sasa hili sakata la kashfa kwa wanawake ambalo amekiri kweli alisema anajuta kuzaliwa.wakati utaamua tusubiri
Ni nini ulichokiandika???View attachment 414554
Baada ya kutolewa email zaidi ya 30000 za Hillary Clinton na mtandao wa weakleaks sasa ni thairi shairi kuwa huyu mama hana na ushawishi wa kushinda uchaguzi ujao.....
Pamoja na Sera mbovu za nje za Trump lakini bado ushawishi wake ndani ya marekani ni mkubwa Kwa wapiga kura.....
Tuendelee kusubiri lakini Kwa sasa hii scandal ya emails sioni ikimuacha aendelee kuongoza...
Leo alijitahidi sana alifanya juu ya expectations zangu(nadhani na za wengi).Vip debate ilikwendaje
Itakuwa salama maana hatodhamini ugaidi, wala hatojihusisha na mambo ya wengine. America itakuwa kwa wa America.Dunia haitakuwa mahali salama huyu babu akichukua nchi
Haifikii scandal ya Clinton's family. Emails, raping, threats na mengine mengiHivi unajifanya hujaona hiyo kashfa mpya akiwatusi wanawake?
Nitafurahi sana kama nitapewa Maelezo kwamba amefikaje pale alipo ikiwa tangu awali alijataliwa kila kona, hats wanaodai kujitoa kum support hawakuwahi muunga mkono.Trump anakataliwa kila mahali,ndani ya chama chake ,watu wake wa karibu,na sasa hili sakata la kashfa kwa wanawake ambalo amekiri kweli alisema anajuta kuzaliwa.wakati utaamua tusubiri
View attachment 414554
Baada ya kutolewa email zaidi ya 30000 za Hillary Clinton na mtandao wa weakleaks sasa ni thairi shairi kuwa huyu mama hana na ushawishi wa kushinda uchaguzi ujao.....
Pamoja na Sera mbovu za nje za Trump lakini bado ushawishi wake ndani ya marekani ni mkubwa Kwa wapiga kura.....
Tuendelee kusubiri lakini Kwa sasa hii scandal ya emails sioni ikimuacha aendelee kuongoza...
Usidanganyike. Hakubaliki kiasi unavyodhani. Labda kama ni mahaba niue au denial tu. Nilikuwa huko Marekani Mei na nilizungumza na wengi. Hilo la unafiki liko sana. Tuanzie na Trump mwenyewe. Pamoja na kelele zake, yeye mwenyewe bidhaa zake zinatengenezwa Mexico na China. Mwenyewe amekuwa akiajiri wahamiaji haramu kwa kuwa anawatapeli malipo. Hell, anawatapeli hata Wamarekani wenzie. Na kama umemfuatilia vizuri utagundua pia kila analolisema anaweza kulikataa kwa nyuzi 180 bila kupepesa macho.Wamarekani this tyme hawataki kiongozi ambaye ni legelege.
Ukichunguza kwa undani utabaini kuwa Trump ndiye mtu anayefiti ktk hiyo nafasi kwa sasa, ingawaje kauli na matamshi yenye utata ndivyo vinavyoonekana kumponza, lakini haibadili ukweli kwamba jamaa anakubalika.
Kama utakumbuka kauli ya Trump kuhusiana na mpango wake wa kuwatimua wahamiaji yapata milioni 11 nchini marekani ilionekana ni ya kibaguzi na kupigiwa kelele sana, lakini ukweli ni kwamba wamarekani wengi waliifurahia kauli hiyo kwani watu wengi walionekana kuikubali kisiri siri bila ya kutaka kujidhiirisha adharani.
Na hii inatokana na asili ya taifa hilo la kibabe duniani linaloongozwa katika misingi ya kinafiki ya hali ya juu yenye kulinda maslahi ya taifa hilo kwa namna yoyote ile.
Very low expectations. No, tremendously low expectations. He did badly because he knows nothing and he is a liar. Kuleta habari za Bill ndiyo hoja?Leo alijitahidi sana alifanya juu ya expectations zangu(nadhani na za wengi).
Bado ana kazi kubwa ya kushawishi watu ila at least jana hakuwaangusha wanao mpenda
Umeandika kama wale wa gender balance....Trump hawezi kishika nchi kwa sera zake mbovu, pia hio scandal ya kuwatusi wanawake na kisunda kwenye debates hio ni dhahiri bibi Clinton lazma aingie mjengoni