technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,696
- 58,738
Baada ya kutolewa email zaidi ya 30000 za Hillary Clinton na mtandao wa weakleaks sasa ni thairi shairi kuwa huyu mama hana na ushawishi wa kushinda uchaguzi ujao.....
Pamoja na Sera mbovu za nje za Trump lakini bado ushawishi wake ndani ya marekani ni mkubwa Kwa wapiga kura.....
Tuendelee kusubiri lakini Kwa sasa hii scandal ya emails sioni ikimuacha aendelee kuongoza...