Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Kumbuka huyu ana siku maalum. Lakini mwamba JPM pamoja na siku ya kifo chake kuingizwa mambo mengine ila bado anaishi mioyoni mwa watu. Ipo siku ukweli wa kifo chake utawekwa wazi! Tukazane tu na maombi
Poleni sana sukuma gang,ila angalizo ni kuwa siku nyingine mkipata kiongozi mkuu wa nchi kutoka kwenye kundi lenu msije mkathubutu kumtukuza sana.La sivyo mtaomboleza sana kwa sababu ya upumbavu wenu.
 
Sasa wapi ambapo hajagusa miaka hii mitatu. Jpm hajawahi kuajiri kwa miaka yote aliyokaa madarani na pia private sector ilikufa. Samia ameajiri mamia kwa maelfu na private sector kafufua
Huna akili kabisa,

SGR, madaraja, bwawa la umeme haikuwa private sector?

Bwawa peke yake liliajiri watu zaidi ya elfu 10 unasemea ajira zipi?
 
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la mwl nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame!.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
 
Huna akili kabisa,

SGR, madaraja, bwawa la umeme haikuwa private sector?

Bwawa peke yake liliajiri watu zaidi ya elfu 10 unasemea ajira zipi?
Ile siyo ajira ni causal work ambayo mradi ukiisha na ajira imeishia hapo. Kazi ni zile za permanent kama ualimu, udaktari nk ambazo jpm alipigwa Pini kabisa. Halafu hiyo miradi inasababiclsa capital draining mana wanaojenga si ma engineer wa hapa pia inasababisha nchi kubebeshwa mizigo ya madeni mana miradi ni mikubwa bajeti ndogo( 31 trillion). Akili inabidi itumike sana siyo papara kama za yule mwehu
 
Hata Magufuli itafikia miaka 20 pia na Nyerere atakuwa na arobaini

Ila kwanini nguvu kubwa sana inatumika na watesi wake kumpoteza mioyoni mwa watanzania?
Wanafanyaje fanyaje kufika mioyoni?
 
Nikweli kabisa yupo na anachapa kazi na "ANAKUSALIMIA" Ng'ombe wewe😡
 
Jawezi kumzidi Adolf Hitler kwa kutajwa.
Hitler ndo aligoma kabisa kufa
 
Samia hana ujanja. Inabidi tu amalizie miradi ya Jiwe ndio aanze kuwaza mengine.

Mgao upo bado. Ila anajitahidi, na yeye aliona majembe ya JPM ndio mkombozi, Vinginevyo akina makamba wange msumbua sana.
Halafu baadae mnahoji Samia anakopa hela kafanyia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…