Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.
Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
Du !. Mbona hivyo? Kwani hao wanaopewa Udoctor si kuna vipengele vinafuatwa mkuu?. Yeye karidhika ndo maan anampa Uprof. Wewe inaelekea una chuki binafsi na Dr Slaa. Kakuto**** mkeo nini mkuu. Pole sana.
Naungana na mleta mada. Kuanzia leo tunatangaza rasmi jamii forum kumuita Dk Slaa Frofessor.
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.
Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!
umechemka kimtindo.Mnaoshabikia vyama hamjui mtendalo,dr.slaa alishafikia wakati wa kuitwa marehemu mtarajiwa na hawezi kiongozi wa inchi hii mpaka tuingie folest kama kina joseph konny ndo mtajua siasa haziko kichwani, mi nashangaa mtu unaacha kufanya shughuli unakalia dr slaa pro, badirikeni bwana watanzania
hiyo itakua ni kuendekeza yaleyale tunayoyakataa humu ya kuvikana vilemba vya ukoka... profesa haandaliwi kwa kusoma/kuandika hotuba
sidhani kama hii ni progressive if we really want to nurture education
Mnaoshabikia vyama hamjui mtendalo,dr.slaa alishafikia wakati wa kuitwa marehemu mtarajiwa na hawezi kiongozi wa inchi hii mpaka tuingie folest kama kina joseph konny ndo mtajua siasa haziko kichwani, mi nashangaa mtu unaacha kufanya shughuli unakalia dr slaa pro, badirikeni bwana watanzania