Sasa ni dhahiri Kangi Lugola, Sirro na Mambosasa wanamuogopa Musiba na huenda wanamtii

mkuu hakuna haja ya kurudia alichokisema Musiba ambacho tayari kipo hapa jf , mimi nimejikita kuzishangaa mamlaka , labda kwa heshima yako tu naomba nirudie kidogo aliyoyasema Musiba japo si kwa mpangilio mzuri , Musiba anasema yeye kama mtetezi wa Magufuli yuko tayari kuwatia vilema wale wote wanaomtukana Rais mitandaoni , kwamba kwake yeye kuuwa na kuteka ndiyo hukumu ya wakosoaji , sasa hili kalisema kwa njia ya video na mamlaka zote zimeona na kunyamaza .
 
aisee... OK🙏🙏
 
Aisee ametema upupu wa hatari kuhusu mh Meeeembe yani angesema mpinzani tusingemsikia tena
 
Musiba ni mtego wa rais mpuuzi anayevizia kufuta vyama vingi. Musiba ana viashiria vyote vya kuchokoza watu wanaoumizwa na nduli ili wareact wapate kisingizio cha kwenda full dictatorship. Kufuta vyama vingi etc. Familia za kina Ben saa8 na Azory wanaweza kuingia3 mtegoni kwa kumshughulikia huyu shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…