Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
- Thread starter
- #21
mkuu hakuna haja ya kurudia alichokisema Musiba ambacho tayari kipo hapa jf , mimi nimejikita kuzishangaa mamlaka , labda kwa heshima yako tu naomba nirudie kidogo aliyoyasema Musiba japo si kwa mpangilio mzuri , Musiba anasema yeye kama mtetezi wa Magufuli yuko tayari kuwatia vilema wale wote wanaomtukana Rais mitandaoni , kwamba kwake yeye kuuwa na kuteka ndiyo hukumu ya wakosoaji , sasa hili kalisema kwa njia ya video na mamlaka zote zimeona na kunyamaza .mkuu huyu mwandishi anasemea udabo standadi unaofanywa na serikali, wakisema watu wengine wanakamatwa, na wakisema akina musiba hawakamatwi au wanaogopwa, ndio maana mwandishi hajasema musiba alisema nini? kuna mjumbe hapo juu kauliza kwànai aliesemwa na musiba kuwa angetekwa ni nani? nami nichukue fursa ya kumuuliza mwandishi atukumbushe aliyoyasema musiba!