Sasa ndo nagundua kwanini Sofapaka waliitaka Yanga....

Sasa ndo nagundua kwanini Sofapaka waliitaka Yanga....

hawa jamaa tokea walivyopakatwa na azam inaonekana wamenogewa na haka kamchezo hawataki kuacha.!

unamaanisha mashabiki,viongozi ama wachezaji?fafanua mkuu.
 
wewe kichwa chako ni sawa na comtainer


Tena lile la 40ft...
Ila we cha kwako ni sawa na cha John Komba anayesinzia Bungeni huku udenda ukimchuruzika then akiamka neno lake la kwanza kuliropoka tena kwa yowe la maana ni ''Ndioooooo''
 
Back
Top Bottom