Sasa nahamia rasmi CCM ya Magufuli

Sasa nahamia rasmi CCM ya Magufuli

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Great Thinkers!
Sasa nimehamia rasmi kambi makini ya CCM ya Magufuli baada ya kushuhudia utekelezaji usio wa kifani wa ahadi zake.
Nilikuwa CHADEMA kindakindaki niliwakubali na kuwapigia debe viongozi wa CHADEMA.

Nilifanya hivi baada ya kuuchukia ufisadi na mauzauza yote yaliyokuwa yanafanywa na wana CCM mafisadi.
Leo hii President John Pombe Magufuli ameonesha uthubutu na uthabiti dhidi ya wote wenye mienendo mibovu iwe ndani au nje ya CCM.

Roho yangu iliyahitaji na kuyatamani sana haya anayoyafanya Namba moja wa Dodoma kwa sasa akiwa amehamia 1BARABARA YA JULIUS NYERERE ROAD
CHAMWINO.

HE is The Real Deal!

Maamuzi yangu haya yanatokana na thread yangu nyeti ambayo leo kwa asilimia 100 imekuwa kweli.


Ungana nami kama mzalendo mtaka mabadiliko ya kweli.
 
Magufuli ni babalao na CCM ni chama lao.
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Darasani bwana! Mnafundishwa wote kwa pamoja wakati mmoja ila kila mtu anaelewa kwa wakati wake!!
 
meningitis,
Nina wasiwasi hii account imehakiwa...wewe jamaa nakukumbuka fresh humu jf ulikuwa chadema damu...account imehakiwa.
 
Sasa hivi sitashangaa na wewe ukianza kuukubali mziki wa jpm.
Laki Si Pesa alikuwa chadema kupitiliza. meningitis nae.
Ila jpm kama binadamu ana mapungufu madogo ila ni rais bora tuliyempata. Wazalendo waatambua hili.
FB_IMG_1575390812985.jpg

FB_IMG_1575390806699.jpg

FB_IMG_1575390800494.jpg

FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Back
Top Bottom