Yaani kambale ni ghali kuliko sato? Mbeya buanaShamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita.
Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza vifaranga vya samaki.
Bei kwa vifaranga ni tshs 500 kwa sato na tshs 700 kwa kambale.
Kwa mnaohitaji kupata huduma mnaweza kunipigia au kufika shambani
Karibuni
0624088590
Linaruhusu kufuga samaki aina zote kwa pamoja?Nilianza mdogo mdogo sana. Kwa mbeya gharama ya ujenzi si kubwa. Ukiwa na 4mil kwa mbeya waweza anza na bwawa moja la 12by12
Hapana, kila aina ya samaki na bwawa lakeLinaruhusu kufuga samaki aina zote kwa pamoja?
Hakuna foleni kwa sasa, ujenzi wamekamilishaMkuu, nitakuja Itende wakimaliza kujenga hiyo lami hapo kilimani. Maana si kwa foleni niliyoikuta maeneo hayo... Hiyo lami ya Ndembela, sijui Simike, am not sure inakwisha lini ujenzi wake?
Mkuu ntakutafuta mi nipo hapa kiwiraShamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita.
Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza vifaranga vya samaki.
Bei kwa vifaranga ni tshs 500 kwa sato na tshs 700 kwa kambale.
Kwa mnaohitaji kupata huduma mnaweza kunipigia au kufika shambani
Karibuni
0624088590
lina floor chini au udongo??
SitaEt kaka hao sato wa miez mingap??
Ndio yana floor chiniLina floor
Karibu mkuuMkuu ntakutafuta mi nipo hapa kiwira
Nauza kwa kiloSato wa mwaka mmoja being ake shngap???