Sasa naanza kuonja matunda ya ufugaji samaki

Joined
Oct 10, 2017
Posts
30
Reaction score
31
Shamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita.

Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza vifaranga vya samaki.
Bei kwa vifaranga ni tshs 500 kwa sato na tshs 700 kwa kambale.
Kwa mnaohitaji kupata huduma mnaweza kunipigia au kufika shambani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…