Na kweli na JK ni chaguo la Mungu , kwani hakuna mamlaka zisizotoka kwa Mungu[/QUOT
think twice kibaraka wewe
....CUF, NCCR, TLP ni wanasiasa hawawezi kunyamazishwa na chadema lazima watafute uhalali wa kuheshimiwa..
Another wishifull thinking!
Eti chadema pekee ndio wapinzani...wa kweli
Endeleeni kujifaraji maana ndio mwisho wa uwezo wenu wa kufikiri..
CUF, NCCR, TLP ni wanasiasa hawawezi kunyamazishwa na chadema lazima watafute uhalali wa kuheshimiwa..