TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,917
- 11,317
kha!!! yani ndio zile ukitembea nae inabidi unambutua hatua kama ishirini mbele na mnaongea kwa sms, khe khekhenkheheheheheheeeeeound:Wenyewe wanaona wanapendeza jamani....
kha!!! yani ndio zile ukitembea nae inabidi unambutua hatua kama ishirini mbele na mnaongea kwa sms, khe khekhenkheheheheheheeeeeound:Wenyewe wanaona wanapendeza jamani....
Inauma sana aisee!....Hahaha Trekta lina tairi ya bajaji? LOL Nimecheka sana aisee...inauma sana aisee.inauma sana uchungu aisee.... yani inakua kama fuso lina tairi za bajaji... si bora kuvaa maksi au trauza aisee at least kufunika kombe mwanaharamu apite
Inauma sana Lizzy aisee!Wenyewe wanaona wanapendeza jamani....
kha!!! yani ndio zile ukitembea nae inabidi unambutua hatua kama ishirini mbele na mnaongea kwa sms, khe khekhenkheheheheheheeeeeound:
kha!!! yani ndio zile ukitembea nae inabidi unambutua hatua kama ishirini mbele na mnaongea kwa sms, khe khekhenkheheheheheheeeeeound:
Inauma sana aisee!....Hahaha Trekta lina tairi ya bajaji? LOL Nimecheka sana aisee...inauma sana aisee.
Inauma sana Lizzy aisee!
mtu hataishi kwa neno pekeechukua mzigo wa kuwaombea kuliko kuweka picha zao hadharani na kulalamika? unadhani itasaidia??
ulivyofanya ni sawa na mtu akutukane alafu umrudishie kwa kulitaja tusi lile lile!!!
mkiambiwa mnakua wakali kama sophia simbaHahahahahaha.....na yeye akijua kwanini???
Nwy tatizo watu wao wa karibu hawawaambii kweli...ni wale wa ‘yes maam‘ bila kujali wanachoitikia ni kweli au la!!Sasa huyo mwanaume ambae anatangulia mbele kuepuka aibu kwanini asimrekebishe mwenzake ili wote wawili wakwepe aibu???
Hahaha...muwe mnawaambia basi!!
Hahaha...muwe mnawaambia basi!!
twenty par anakuambia.... sura mpya miguu ya zamani...:dance:Meti unacheka wakati inauma sana?
Umenikumbusha dada mmoja ana miguu kama fito...hapiti kwenye matope asije akanasa.....lakini naye anapiga kimini.... afu tufito twenyewe katutandika mkorogo wa haja.... milonjo myeupeeee... goti jeusiiiii! LOL
Inakera sana aisee!
well said SMUWakati mwingine huwa ni ngumu kweli.......unatamani kumwambia lakini hutaki kumkwaza! Lakini all in all kama ni 'mtu wako' ni mara kumi umwambia hata kama atakwazika lakini huenda baadae atakuelewa!
Meti, nlikuwa sijaisoma hii hapa chini aisee..... Una mpango wa kunivunjia mbavu zangu? Nimecheka mpaka basi.mtu hataishi kwa neno pekee
sometimes the best way to teach someone is to reflect in public, Mbu has done the right thing.... hivi tutoe mfano wa mibaba inavaa kata-K, utasema tuwaombee tu? tunaweka na picha kabisa hata akijiona au akiona mtu amevaa kama yeye taratiiibu anenda tugawa au kutupa zile nguo
mkiambiwa mnakua wakali kama sophia simba
mkiambiwa mnakua wakali kama sophia simba
kweli mkuu, upumbavu hauna ujazo........ Hata kuvaa uchi-uchi au kata K ni upumbavu tu, tena mkubwa kuliko kontena la konyagiMeti, nlikuwa sijaisoma hii hapa chini aisee..... Una mpango wa kunivunjia mbavu zangu? Nimecheka mpaka basi.
"Upumbavu hauna ujazo" - Asprin, May 2011
Inachekesha sana asee...LOL
nice advice... we usually do as you said, lakini hukawii kuambiwa nguo yangu na naipenda, hutaki tu nipendeze... wivu unakusumbua nk.Unatumia akili kufikisha ujumbe sio unamwambia moja miguu yako inachekesha au unaonekana kituko!!!'‘Ungependeza zaidi ukivaa vile au hivi....napenda zaidi ukivaa kitu fulani" hapo anabadilisha bila kujisikia vibaya au kukosa kujiamini!!
nice advice... we usually do as you said, lakini hukawii kuambiwa nguo yangu na naipenda, hutaki tu nipendeze... wivu unakusumbua nk.
dawa tu ni kuzimwagia mchuzi au fanta, lazima abadili atake asitake