Sasa mnaudhi na kukera!

inauma sana uchungu aisee.... yani inakua kama fuso lina tairi za bajaji... si bora kuvaa maksi au trauza aisee at least kufunika kombe mwanaharamu apite
Inauma sana aisee!....Hahaha Trekta lina tairi ya bajaji? LOL Nimecheka sana aisee...inauma sana aisee.

Wenyewe wanaona wanapendeza jamani....
Inauma sana Lizzy aisee!
 
chukua mzigo wa kuwaombea kuliko kuweka picha zao hadharani na kulalamika? unadhani itasaidia??

ulivyofanya ni sawa na mtu akutukane alafu umrudishie kwa kulitaja tusi lile lile!!!
 
kha!!! yani ndio zile ukitembea nae inabidi unambutua hatua kama ishirini mbele na mnaongea kwa sms, khe khekhenkheheheheheheeeee:pound:

Meti unacheka wakati inauma sana?

Umenikumbusha dada mmoja ana miguu kama fito...hapiti kwenye matope asije akanasa.....lakini naye anapiga kimini.... afu tufito twenyewe katutandika mkorogo wa haja.... milonjo myeupeeee... goti jeusiiiii! LOL

Inakera sana aisee!
 
Hahahahahaha.....na yeye akijua kwanini???
Nwy tatizo watu wao wa karibu hawawaambii kweli...ni wale wa ‘yes maam‘ bila kujali wanachoitikia ni kweli au la!!Sasa huyo mwanaume ambae anatangulia mbele kuepuka aibu kwanini asimrekebishe mwenzake ili wote wawili wakwepe aibu???
 
chukua mzigo wa kuwaombea kuliko kuweka picha zao hadharani na kulalamika? unadhani itasaidia??

ulivyofanya ni sawa na mtu akutukane alafu umrudishie kwa kulitaja tusi lile lile!!!
mtu hataishi kwa neno pekee

sometimes the best way to teach someone is to reflect in public, Mbu has done the right thing.... hivi tutoe mfano wa mibaba inavaa kata-K, utasema tuwaombee tu? tunaweka na picha kabisa hata akijiona au akiona mtu amevaa kama yeye taratiiibu anenda tugawa au kutupa zile nguo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahahahaha.....na yeye akijua kwanini???
Nwy tatizo watu wao wa karibu hawawaambii kweli...ni wale wa ‘yes maam‘ bila kujali wanachoitikia ni kweli au la!!Sasa huyo mwanaume ambae anatangulia mbele kuepuka aibu kwanini asimrekebishe mwenzake ili wote wawili wakwepe aibu???
mkiambiwa mnakua wakali kama sophia simba
 
Hahaha...muwe mnawaambia basi!!

Wakati mwingine huwa ni ngumu kweli.......unatamani kumwambia lakini hutaki kumkwaza! Lakini all in all kama ni 'mtu wako' ni mara kumi umwambia hata kama atakwazika lakini huenda baadae atakuelewa!
 
Meti unacheka wakati inauma sana?

Umenikumbusha dada mmoja ana miguu kama fito...hapiti kwenye matope asije akanasa.....lakini naye anapiga kimini.... afu tufito twenyewe katutandika mkorogo wa haja.... milonjo myeupeeee... goti jeusiiiii! LOL

Inakera sana aisee!
twenty par anakuambia.... sura mpya miguu ya zamani...:dance:
 
Wakati mwingine huwa ni ngumu kweli.......unatamani kumwambia lakini hutaki kumkwaza! Lakini all in all kama ni 'mtu wako' ni mara kumi umwambia hata kama atakwazika lakini huenda baadae atakuelewa!
well said SMU
 
mtu hataishi kwa neno pekee

sometimes the best way to teach someone is to reflect in public, Mbu has done the right thing.... hivi tutoe mfano wa mibaba inavaa kata-K, utasema tuwaombee tu? tunaweka na picha kabisa hata akijiona au akiona mtu amevaa kama yeye taratiiibu anenda tugawa au kutupa zile nguo
Meti, nlikuwa sijaisoma hii hapa chini aisee..... Una mpango wa kunivunjia mbavu zangu? Nimecheka mpaka basi.

"Upumbavu hauna ujazo" - Asprin, May 2011

Inachekesha sana asee...LOL
 
mkiambiwa mnakua wakali kama sophia simba

Unatumia akili kufikisha ujumbe sio unamwambia moja miguu yako inachekesha au unaonekana kituko!!!‘‘Ungependeza zaidi ukivaa vile au hivi....napenda zaidi ukivaa kitu fulani“ hapo anabadilisha bila kujisikia vibaya au kukosa kujiamini!!
 
Meti, nlikuwa sijaisoma hii hapa chini aisee..... Una mpango wa kunivunjia mbavu zangu? Nimecheka mpaka basi.

"Upumbavu hauna ujazo" - Asprin, May 2011

Inachekesha sana asee...LOL
kweli mkuu, upumbavu hauna ujazo........ Hata kuvaa uchi-uchi au kata K ni upumbavu tu, tena mkubwa kuliko kontena la konyagi
 
Unatumia akili kufikisha ujumbe sio unamwambia moja miguu yako inachekesha au unaonekana kituko!!!'‘Ungependeza zaidi ukivaa vile au hivi....napenda zaidi ukivaa kitu fulani" hapo anabadilisha bila kujisikia vibaya au kukosa kujiamini!!
nice advice... we usually do as you said, lakini hukawii kuambiwa nguo yangu na naipenda, hutaki tu nipendeze... wivu unakusumbua nk.

dawa tu ni kuzimwagia mchuzi au fanta, lazima abadili atake asitake
 
Hahaha...unamwambie wife "We mama, nguo gani hiyo unavaa? Hiyo miguu unaiona? Kama huioni hebu jiangalie kwenye kioo. hebu badilisha huko, la sivyo nenda peke yako?"
 
Nafikiri pale ni night club na sijui hawa global wamewezaje kupiga picha humo ndani, ingekuwa anatembea mtaani hapo ningeshangaa. tunapenda globalization na tukubali mabadiliko kama haya mkuu, hapo alipo ni mahala pake kabisa hajakosea. ila hiyo michiriziiiiiiii duh
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom