KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,749
- 8,996
Nilishawaambia hapa kuna mambo mengi sana kama hujielewi utakuwa unapiga makofi.. Yawezekana Rais Magufuli akawa na nia ya dhati lakini mfumo wa CCM si rahisi ukaweza kutekeleza yale uliyoyatamani kuyafanya kwani ni lazima utabidi ufumue uozo mwingi...
Kwani ufisadi ni Mbuyu wa siku nyingi na una mizizi imejikita kila kona ya serikali.. Japo Rais alitaka kuitikisa lakini kapigwa gavana na wenye CCM!
Usidhani ni swala la Lugumi pekee, yapo mengi ya aina hiyo hata STANBIC hautakaa uyasikie... Ndiyo maana unaambiwa hadi leo hakuna sababu ya kuonyesha Bunge live sababu kuwa ni aibu kwa serikali na ni mengi tutayasikia.
Usitegemea mapya utawala huu.