Mama ndo hatakii, labda kama ana kichwa cha panzi ndo akubaliHahaha
Ndio maana nimesema hiyo tumuachie baba na mama, wao wakiona kuna umuhimu warudiana siye tuka pige pilau tuwaache na maisha yao.
Kwanza ulikuwa wapi weweKwani mm nimemuomba mungu
Acha bwana dhambi za kukufuru
Hapo ulipo waandika lakini nafsi yakusutaHahahaha
Ujue huyu sista mi naamini kabsa alikuwa ana consider kurudi, kwa sababu asinge omba ushauri.
Ila kina mwakyembe wa kuzuia ndoa wamekuwa wengi ndio wamzidia.
Ya Mungu mengi wamwache akaolewe tena
Mods waliniita sentro kidogoKwanza ulikuwa wapi wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilijua lazima ukija u pige point nzuri kama hii
Hivi mtoto mdogo anapata wapi guts za kusema 'ataua'!!! Alafu yeye hilo hajaona ni tatizo!hahahahh na kushika pistol
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ila wanawake tuna huruma, ukute tayari yuko kwa baby dady sie povu linatutoka huku.
HeheheMods waliniita sentro kidogo
Nimemaliza duty yangu nimerudi
Yeye anamuwaza tu mtalaka, hata kumpa mboko hakunaHivi mtoto mdogo anapata wapi guts za kusema 'ataua'!!! Alafu yeye hilo hajaona ni tatizo!
[emoji134] [emoji134]Hahaha
Mi ndio maana nimekuwa mpole kwenye hii kitu
Halafu mi najua siye binadam wote huwa tuna kosea so jamaa hata sija mmaind sanaa.
Kuna kukosea na kufanya kosa, kitendo cha kuandika talaka ni dhahiri kuwa alikuwa hamhitaji tenaaaHahaha
Mi ndio maana nimekuwa mpole kwenye hii kitu
Halafu mi najua siye binadam wote huwa tuna kosea so jamaa hata sija mmaind sanaa.
Hapana mm sioHehehe
Kumbe we mtundu eeeh
Afadhali angejibuHapana mm sio
Mm ni mondray.
Vp kajibu sasa
HahaaaaaaaaaaAfadhali angejibu
Ujue sikuelewi shemHahaaaaaaaaaa
Nipe jibu sasa la ile issue