Sasa mbona ananisumbua?

Yy ndio anaemtafuta mtoto anaenda hadi shule na kwa Bibi yake pia anaenda kumtia maneno mpk yameshamjaa ukizingatia jamaaa Mambo yamemchachia sa iv Ni fundi cm
nilitaka nikuulize hivi hivi, je huyo mtoto anakutana na baba yake na kuongea, kumbe jibu n ndio, Mm nina iman 99% hata hayo maneno ya kuua huyo mtoto anapandikiziwa na Baba yake, mtoto wa miaka mitano anapata wap Confidenc ya kumwambia mama yake ivyoo, Ninacho kushaur, Katisha mawasiliano kbsa kat ya baba na mtoto, Atamharibu mtoto wako, hujo jamaa inaonesha Sio km anaroho mbaya tuu bali n katili, Hata ukiolewa usikubali ajue hilo, hashindwi kukufanyia lolote, Mtoto Kaa nae taratibu mueleze mambo ya baba yake, Haiwezekan ww unaish na mtoto halaf baba wa kukutana nae ma dk ndo awe na ushawish kukuzd ww.
Huyo jamaa sio roho mbaya tu n katili piaa.
 
Chimbuko la matatizo yote ni wewe mwenyewe kulazimisha ndoa kwa mtu asiyekutaka kwa kigezo cha eti 'alishakula tunda'....pole

Huyo mwanaume tangu mwanZo hakuwahi kukufaa...usitarajie atakufaa sasa hivi
Njooo Nikutoe Out. Km alikataa Ndoa, akakataa Kuish na wewe, akakataa tena na Mtoto Huyo jamaa Hakupendi kbsaa. Najua mtoto unampenda sanaa na lazma umepende mtoto wako hasa uliyemzaa na kumlea kwa shda akafka hapo, Huyo mtoto bado n mdg sana muwah mapema umbadilishe mawazo yke ,umri wake ni wa kupokea chochotee.
 
Halaf huyo jamaa nahc n yule alienitapeli simu yangu. NDI
 
Sawa mkuu
 
Ahsante sana Daby, lkn ndo kwanza umeiona leo hii?? Mbn ipo cku nyng tu sa iv nashkuru nimekata all networks hanisumbui tena
Ndiyo nimeiona leo na sijawahi kucomment humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…