NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Ashakumu so matusi wakubwa,
Jana nilikuwa na kichenchedu kimoja maeneo baada ya kunisumbua kwa muda mrefu Jana kimeeleweka.Sasa tulipoingia maeneo ya faragha na kwa kuwa ilikuwa mara ya kwanza.Jogoo kawika mara mbili tu.
Mimi nikaanza kuvaa nguo maana nimetosheka, nikaanza kusikia kiwi! Kiwi! Kiwi! Kuangalia mwenzangu machozi ya kutisha kama Amefiwa. Ikanibidi niulize kulikoni mbona nimekuachia 20, 000 ya nauri.
Akadai hata kwetu pesa zipo mimi sikufuata pesa hapa, nilitaka faraja yako "na pesa chukua" sasa unataka nini mama "Penzi" kwa sauti kubwa, ndipo nilipogundua kwakuwa wanafaidi zaidi yetu. Inapasa sasa watuhonge.