sasa huu ndo uvaaji gani

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Huuu uvaaji kiboko
IMG-20160123-WA0028.jpg
 
Subiri watu wenye mimacho yao waje kama wataona hivyo viatu vya kijani na sarawali ya kimajivu.
 
Huna lolote wewe.

Ulitaka tukiangalie kijungu.

Uongo dhambi, kijungu kinavutia
 
Back
Top Bottom