Sasa hivi mafisadi wanapumua...

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,385
679
Kutokana na Milipuko ya GOMS, yale mambo yote mazito yanayolikabili taifa letu yamefunikwa kabisa.. Hasa Dowans, mfumko wa bei, Kupanda kwa umeme, mgao, kujisafisha kwa Chenge, kuchaguliwa kwa EL kua mwenyekiti wa kamati.. Madai ya Katiba mpya, Migomo ya Wanavyuo, Wastaafu eac.. Etc.. Na watawala wetu wameshalitambua hilo.. Ni ku change chorus tu..
 
Walitengeneza zengwe la arusha kupotezea dowans lkn ikaibuka. Wametengeneza tena la gomz nalo litafifia. Tusubiri zengwe jingine
 
Utafikiri TZ ni nchi yenye laana, hata chama tawala chenyewe kimelaaniwa pia hadi sasa hivi ni chama familia. Ridhiwani ana maamuzi kuliko yoyote ndani ya CCM.
 
Kutokana na Milipuko ya GOMS, yale mambo yote mazito yanayolikabili taifa letu yamefunikwa kabisa.. Hasa Dowans, mfumko wa bei, Kupanda kwa umeme, mgao, kujisafisha kwa Chenge, kuchaguliwa kwa EL kua mwenyekiti wa kamati.. Madai ya Katiba mpya, Migomo ya Wanavyuo, Wastaafu eac.. Etc.. Na watawala wetu wameshalitambua hilo.. Ni ku change chorus tu..

ya richmond iliondoka na fisadi machachari LOWASA na hili halitamwacha ROSTAM
 
Back
Top Bottom